Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,299
- 13,334
Nchi zooote zikiacha kutumia dollars bado US atakua strongly amini hutaki meza wembesaudia ana nafasi kubwa sana nae yakufanya ushawishi wa usa upungue hasa kwenye dollar
maana saudia wamesema kama watawekewa vikwazo na usa,wataanza kuuza mafuta kwa kutumia yuan ya china,wataanza urafiki na iran,hamas,hezbollah na watapiga marufuku makampuni ya usa kule saudia
na vile vile wataanza kununua silaha russia na watawaruhusu kujenga military kwenye mji ambao upo karibu na red sea
kama hayo yote yakifanywa na saudia kwenye ishu ya oil trade us dollar itapoteza ushawishi kwa kiasi kikubwa mno ikizingatiwa kwamba wauzaji wote wakubwa wa mafuta duniani isipokua saudia wameanza kuacha kutumia dollar kama vile venezuela,iran,russia
hapa trump inabidi atumie busara sana kulimaliza hili suala