Saudi state-owned media warns Russia will exploit vacuum if US imposes sanctions

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
A top state-linked Saudi media figure has warned that imposing US sanctions on Riyadh in response to the Khashoggi crisis could lead to Russia opening a military base in the kingdom.

The general manager of a Saudi-state-owned media company published an op-ed Sunday suggesting that if the U.S. imposes sanctions in response to the disappearance of Washington Post columnist Jamal Khashoggi, the situation will get so dire that Saudi Arabia would allow Russia to install a military base in the nation.

President Trump said Thursday that he is not considering halting the sale of arms to Saudi Arabia in light of Washington Post columnist Jamal Khashoggi's disappearance and feared death. The president has ordered an investigation into the matter and there are no sanctions in place at the moment in response.

Soma zaidi
Saudi state-owned media warns Russia will exploit vacuum if US imposes sanctions
 
kweli kabisa hapa trump lazima atumie akili ya kuzaliwa lasivyo saudi atakua chini ya mikono ya russia na china

na hii itakua ni huge blow to western countries,ila kiukweli global power ina shift east ward

wasipo wakaribisha russia leo ipo siku mbeleni watafanya hivyo
unadhani nini zitakuwa sababu za US kushuka ushawishi, na ushawishi huo uhamie Russia au China.
Huoni kama hao jamaa wameweka mizizi kila kona au ni propaganda tunalishwa na media zao.
 
saudia ana nafasi kubwa sana nae yakufanya ushawishi wa usa upungue hasa kwenye dollar

maana saudia wamesema kama watawekewa vikwazo na usa,wataanza kuuza mafuta kwa kutumia yuan ya china,wataanza urafiki na iran,hamas,hezbollah na watapiga marufuku makampuni ya usa kule saudia

na vile vile wataanza kununua silaha russia na watawaruhusu kujenga military kwenye mji ambao upo karibu na red sea

kama hayo yote yakifanywa na saudia kwenye ishu ya oil trade us dollar itapoteza ushawishi kwa kiasi kikubwa mno ikizingatiwa kwamba wauzaji wote wakubwa wa mafuta duniani isipokua saudia wameanza kuacha kutumia dollar kama vile venezuela,iran,russia

hapa trump inabidi atumie busara sana kulimaliza hili suala
 
A top state-linked Saudi media figure has warned that imposing US sanctions on Riyadh in response to the Khashoggi crisis could lead to Russia opening a military base in the kingdom.

The general manager of a Saudi-state-owned media company published an op-ed Sunday suggesting that if the U.S. imposes sanctions in response to the disappearance of Washington Post columnist Jamal Khashoggi, the situation will get so dire that Saudi Arabia would allow Russia to install a military base in the nation.

President Trump said Thursday that he is not considering halting the sale of arms to Saudi Arabia in light of Washington Post columnist Jamal Khashoggi's disappearance and feared death. The president has ordered an investigation into the matter and there are no sanctions in place at the moment in response.

Soma zaidi
Saudi state-owned media warns Russia will exploit vacuum if US imposes sanctions
Saudi ni lulu kwa marekani , ata vikwazo anavyomwekea Iran ni kwasababu Saudi yupo upande wake, hivyo basi hili linaweza kupita kama hakuna kilicho tokea
 
saudia ana nafasi kubwa sana nae yakufanya ushawishi wa usa upungue hasa kwenye dollar

maana saudia wamesema kama watawekewa vikwazo na usa,wataanza kuuza mafuta kwa kutumia yuan ya china,wataanza urafiki na iran,hamas,hezbollah na watapiga marufuku makampuni ya usa kule saudia

na vile vile wataanza kununua silaha russia na watawaruhusu kujenga military kwenye mji ambao upo karibu na red sea

kama hayo yote yakifanywa na saudia kwenye ishu ya oil trade us dollar itapoteza ushawishi kwa kiasi kikubwa mno ikizingatiwa kwamba wauzaji wote wakubwa wa mafuta duniani isipokua saudia wameanza kuacha kutumia dollar kama vile venezuela,iran,russia

hapa trump inabidi atumie busara sana kulimaliza hili suala
nimekusoma mkuu. hao nadhani ni kama wanandoa wawili walioamua kugombana mbele ya hadhara kwa sababu ambazo hata hazikuwa na mashiko. sisi wapambe tunaona kama wanaachana, ila jioni unaona wanatoana Out kwa vicheko vingi.
 
Saudi Arabia wameshamnyonga yule Mwandishi na bila shaka Trump analijua hilo ila tamaa ya fedha na potential lucrative business deals zinawafanya wazibe midomo yao
 
kweli kabisa hapa trump lazima atumie akili ya kuzaliwa lasivyo saudi atakua chini ya mikono ya russia na china

na hii itakua ni huge blow to western countries,ila kiukweli global power ina shift east ward

wasipo wakaribisha russia leo ipo siku mbeleni watafanya hivyo
China na Russia hawawezi kuwa global power hata siku moja mpaka dunia inaisha mpaka kiingereza kiwe lugha yao ya taifa.
.
Usinijibu na hoja ya Germany maana ntakufikiria uliishia grade 1 shule
 
Back
Top Bottom