Nchi zooote zikiacha kutumia dollars bado US atakua strongly amini hutaki meza wembesaudia ana nafasi kubwa sana nae yakufanya ushawishi wa usa upungue hasa kwenye dollar
maana saudia wamesema kama watawekewa vikwazo na usa,wataanza kuuza mafuta kwa kutumia yuan ya china,wataanza urafiki na iran,hamas,hezbollah na watapiga marufuku makampuni ya usa kule saudia
na vile vile wataanza kununua silaha russia na watawaruhusu kujenga military kwenye mji ambao upo karibu na red sea
kama hayo yote yakifanywa na saudia kwenye ishu ya oil trade us dollar itapoteza ushawishi kwa kiasi kikubwa mno ikizingatiwa kwamba wauzaji wote wakubwa wa mafuta duniani isipokua saudia wameanza kuacha kutumia dollar kama vile venezuela,iran,russia
hapa trump inabidi atumie busara sana kulimaliza hili suala
Pumba hiziKila raisi mteule lazima azuru Saudia kubusu mkono wa Mfalme kabla ya kwenda Jerusalem.
mkuu paragraph ya mwisho umetumia pronouns nyingi, hakina sie tumeshindwa kukuelewa vizuri.unadhani nini zitakuwa sababu za US kushuka ushawishi, na ushawishi huo uhamie Russia au China.
Huoni kama hao jamaa wameweka mizizi kila kona au ni propaganda tunalishwa na media zao.
Sasa hili povu lote la nini,naona mishipa ya shingo imekusimama utafikir we ndo Trump
economically hawezi ku survive watu wakiacha kutumia dollar,unajua tunavyotumia dollar we actually funding them,na ndio maana nchi yeyote ambayo ilijaribu kuacha kutumia dollar basi ilivamiwa na kupigwa na usa ikiwapo libya iraq,syriaNchi zooote zikiacha kutumia dollars bado US atakua strongly amini hutaki meza wembe
Nimesoma mpaka nimesikitika, mkubwa hayo mataifa ambayo wewe unayaona kwa jicho la tatu kuwa warithi wa nafasi ya US hata hawana nguvu yoyote kifedha, kielimu, kiteknohama, kijeshi n.k.economically hawezi ku survive watu wakiacha kutumia dollar,unajua tunavyotumia dollar we actually funding them,na ndio maana nchi yeyote ambayo ilijaribu kuacha kutumia dollar basi ilivamiwa na kupigwa na usa ikiwapo libya iraq,syria
wamarekani wanajua fika nini kitatokea dollar ikiachwa kutumika,hata zile treasury hazitanunulika sababu us dollar itakua imepoteza nguvu na kama mkuu unazungumza kitu usichokijua kabisa
na kwa sasa tunapoelekea kuna hati hati kubwa sana kwa us dollar kupoteza thamani na hatimaye uchumi wa marekani kuteteleka sababu hela kubwa ya marekani ni fiat money haiwi backed na kitu chochote na wajanja wameanza kuuza deni la marekani ikiwapo china na russia
hilo unaongea wewe ila wenyewe wakina trump wanaona kabisa china ni tishio kubwa kwaoNimesoma mpaka nimesikitika, mkubwa hayo mataifa ambayo wewe unayaona kwa jicho la tatu kuwa warithi wa nafasi ya US hata hawana nguvu yoyote kifedha, kielimu, kiteknohama, kijeshi n.k.
Kwa mfano dollar iache kutumika kabisa na watu waanze kutumia Yuan haitamuathiri muamerika kabisa kivipi?
Muziki ni wake yeye.
Filamu ni zake yeye.
Computer na system zake zoote mpaka mitandao ya sim iliyoko popote duniani na sim zenyewe muamerica ndie major controller.
Ana backup ya kimungu wa Israel na mungu wao aliopo Pentagon.
Mjeruman aliikuwa mbabe wa dunia bila hata pesa yake kutumika popote, JESHI LA MAREKANI NI JESHI LA DUNIA HAJIVUNII DOLLAR KUTUMIKA DUNIANI KOTE ANAJIVUNIA STRONG ARMY.
hujui unalo liongea kuhusu dollar inaonekana ni mweupe sana kwenye masuala ya uchumi na fedhaNimesoma mpaka nimesikitika, mkubwa hayo mataifa ambayo wewe unayaona kwa jicho la tatu kuwa warithi wa nafasi ya US hata hawana nguvu yoyote kifedha, kielimu, kiteknohama, kijeshi n.k.
Kwa mfano dollar iache kutumika kabisa na watu waanze kutumia Yuan haitamuathiri muamerika kabisa kivipi?
Muziki ni wake yeye.
Filamu ni zake yeye.
Computer na system zake zoote mpaka mitandao ya sim iliyoko popote duniani na sim zenyewe muamerica ndie major controller.
Ana backup ya kimungu wa Israel na mungu wao aliopo Pentagon.
Mjeruman aliikuwa mbabe wa dunia bila hata pesa yake kutumika popote, JESHI LA MAREKANI NI JESHI LA DUNIA HAJIVUNII DOLLAR KUTUMIKA DUNIANI KOTE ANAJIVUNIA STRONG ARMY.
Aiseee inaweza kweli lolote kuhusu economics ila najua vingi mno kuhusu history ya US ninaelewa kafikaje hapo na hatokaa atoke kwanini.hujui unalo liongea kuhusu dollar inaonekana ni mweupe sana kwenye masuala ya uchumi na fedha
marekani pale alipo kinacho mbeba kwa kiasi kikubwa na matumizi ya dollar duniani kote na hapa waty wachumi wananielewa ninalolizungumza
OMG bidhaa za america zinatengenezwa wapi?? Acha kukurupuka china wanafanya assembling tu na china wanatumika kama dustbin hakuna muamerica anaetumia bidhaa ya kielectrinic toka china.hilo unaongea wewe ila wenyewe wakina trump wanaona kabisa china ni tishio kubwa kwao
kwani china na usa wanapishana kiasi gani kwenye uchumi wao,maana me najua china kazidiwa na usa kwenye GDP na per capita income
ujerumani alikua super power lini na kwa muda gani,taifa lolote ambalo limewahi kua superpower hela yake lazima itumike duniani kote angalia mfano ilivyokua british empire na jinsi pound ilivyokua inatumika na angalia au kasome mkakati uliofanywa ili british pound iondoke kama global reserve na ilikuchukua zaidi ya miaka 100 kufanya hivyo
hizo bidhaa zote za marekani kuanzia simu mpaka chupi mbona zinatengenezwa china
unaweza kua na strong army lakini usiwe na uchumi mkubwa vile vile
soma hii link vizui ya businessinsider may be utaelewa kwa nini marekani itaendelea kupambana kufa na kupona ila us dollar iendelee kutumika kama world reserve currency na kwenye international trade
OMG bidhaa za america zinatengenezwa wapi?? Acha kukurupuka china wanafanya assembling tu na china wanatumika kama dustbin hakuna muamerica anaetumia bidhaa ya kielectrinic toka china.
Kasome history ya Germany.
Mchina hayupo hata kwenye G7 uje unambie hapa anamkaribia mmarekani sema Japan si china
Congrats. wewe ni great thinker. Hizi ni propaganda na kuuhadaa ulimwengu. In fact, Saudia iko stable kwa sababu ya Marekani. Without US, Saudia is nothing. Nchi kama Russia haiko stable kuihakikishia usalama Saudi Arabia kwani licha ya kuwa Permanent member wa UN security Council, bado US inamwekea sanction Russia na vikwazo hivyo vinafanya kazi. Hakuna nchi nyingine yoyote inayoweza kumwekea vikwazo US vikafanya kazi...Not now, not ever!unadhani nini zitakuwa sababu za US kushuka ushawishi, na ushawishi huo uhamie Russia au China.
Huoni kama hao jamaa wameweka mizizi kila kona au ni propaganda tunalishwa na media zao.
na russia wamepigwa biti wasijenge bomba la gesi kwenda ujerumani. Na kama haitoshi Ujerumani pqmoja na kuwa superpower kwa ulaya imepigwa mkwara wa kuwekewa vikwazo wakikubali huo mradi.Congrats. wewe ni great thinker. Hizi ni propaganda na kuuhadaa ulimwengu. In fact, Saudia iko stable kwa sababu ya Marekani. Without US, Saudia is nothing. Nchi kama Russia haiko stable kuihakikishia usalama Saudi Arabia kwani licha ya kuwa Permanent member wa UN security Council, bado US inamwekea sanction Russia na vikwazo hivyo vinafanya kazi. Hakuna nchi nyingine yoyote inayoweza kumwekea vikwazo US vikafanya kazi...Not now, not ever!
kuna points hapa. nimeona wanasema watapandisha bei ya mafuta kwa 200$, alafu watahamia kwenye chinese Yuan na kupiga chini petro dollar. hii ngoma inahitaji akili maana kila hatua inakula kwa mtu.soma hii link vizui ya businessinsider may be utaelewa kwa nini marekani itaendelea kupambana kufa na kupona ila us dollar iendelee kutumika kama world reserve currency na kwenye international trade
ndio maana marekani anakua hana limit za kukopa,yeye anakopa tu na ndio kwa sasa nchi yenye deni kubwa zaidi duniani sasa kama ikitokea dollar imeanza kupoteza dominance yake basi ujue hapa marekani hatakua hakopesheki na hatoweza kufund mambo yake ya msingi viwanda vyenyewe kavipeleka china,uzalishaji wake ni mdogo sana ndani ya marekani
na kunako elekea USA itakua haikopesheki kama deni lake litafika 92%ya GDP yake na kuendelea maana kwa sasa wanadaiwa 21 trillion dollars na wanazilipa kwa hizo fiat money sasa je siku ikitokea dominance ya dollar imepoteza nguvu jua kabisa hatokopesheka na itakua na huge impact kwenye usa economy
Trump njia Panda ila kwa mabepari pesa mbele ubinadamu ndo ufuateCHANGA LA MACHO
mkuu hiyo wameandika vijana wa trump wenyewe hukohuko, mimi nimefanya kuisogeza tu humu jamvini.mkuu paragraph ya mwisho umetumia pronouns nyingi, hakina sie tumeshindwa kukuelewa vizuri.