Saudi Arabia wanajenga "Mji wa Wanawake",utafunguliwa rasmi 2013 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Saudi Arabia wanajenga "Mji wa Wanawake",utafunguliwa rasmi 2013

Discussion in 'International Forum' started by jmushi1, Aug 13, 2012.

 1. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,575
  Likes Received: 1,942
  Trophy Points: 280
  Kwa mujibu wa CNN,wasaudi wameamuwa kujenga mji wa wanawake ili waweze kufanya kazi.Hii ni hatua ya kuelekea kuwapa wanawake haki ya kufanya kazi,kuendesha magari nk.Maofisa wa Saudi wanasema ni hatua nzuri,kazi 5,000 zinategemewa kuwa created.Maofisa hao pia walisema kuwa hawawezi kuchukua hatua za kuwaruhusu wanawake wafanye kazi na wanaume,hata wanadai huu ni mwanzo mzuri.
  My take:Hongera kwa wasaudi kwa kupiga hatua hiyo...
   
 2. bigboi

  bigboi JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 465
  Likes Received: 405
  Trophy Points: 80
  Ngoja nikagombee ubunge kule slogan ya kampeni yangu itakuwa "wanawake mtanipaaaaaaaa wao tutakupaaaaaaaaa wewe mabo iko huku
   
 3. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,575
  Likes Received: 1,942
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama viongozi wanawake wanaruhusiwa kwasasa kutoa viongozi.Watakuwa na mji lakini sidhani kama wataruhusiwa kujiongoza.I stand to be corrected.
   
 4. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  hawa jamaa na conflicts of values.Sasa si watakuwa wana promote ushoga bila kujijua?
   
 5. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Kumbe Saudia bado wanaishi maisha ya miaka 2,000 iliyopita! Shame on them! Huu mbona ni kama ubaguzi? Basi wajenge na miji ya wanaume. Uhuni mwingine unatia kinyaa.
   
 6. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Lol! Nashindwa nicheke ama nilie! Sasa hao viongozi wao wanaume wataongoza kwa remote ama? Manake si na wao watachanganyika na wanawake? Hata broiler farm lazma watu waingie kukamata vyuku vya kuchinja!
  Ngoja ni-reserve comment yangu kaka-shemeji!
   
 7. Blaine

  Blaine JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 2,285
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  simple solutions from simple minds
   
 8. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Haaaaaaaa kweli ukistaajabu ya mussa utayaona ya wasaudia.
   
 9. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  tanzania tutatengeneza mji wa nini?? mafisadi au!!!!!
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Naona mleta mada kasahau au kafanya makusudi kuandika neno "viwanda" kati kati ya mji wa na wanawake". aongezee hili ilete maana kamili:

  Someni zaidi kabala hajaaibika:

  UPDATE on 8/15/2012 at 3:20 pm ET: Al Arabiya English reported on Wednesday that Saudi Arabia is not building a women-only industrial city.
  Contrary to reports by the Guardian, ABC News, and the Russian news agency RT, among others, Al Arabiya English writes that the new municipality will be open to both men and women.
  According to the news agency, It appears that the confusion arose after the title of the press release by MODON, the Saudi Industrial Property Authority, was misinterpreted.
  Though the title read "'MODON' begins Planning and Development for the First Industrial City being readied for Women in the Kingdom," the press release later clarifies that the city will provide employment opportunities "for both men and women."
  "It's a city like any other city, where men and women work. But special sections and production halls will be reserved for women within the factories," the authority told Al Arabiya English on Tuesday.
  Read the original report below:
  In a bid to reconcile strict gender-segregation laws with a desire to increase employment opportunities for women, Saudi Arabia is planning to construct a new industrial "city" exclusively for female workers, Russian news agency RT reports.
  According to Asian News International (ANI), the municipality, which will be built in the Eastern Province city of Hofuf, is the "first of several" women-only cities planned for the conservative kingdom.
  Women in Saudi Arabia require a male guardian's consent for a host of activities including marriage, divorce or travel. The Guardian notes that segregated schools, universities and offices are already common in the country.
  According to some estimates, only about 15 percent of the current Saudi workforce is female, despite the fact that nearly 60 percent of the country's university students are women. Al Arabiya reports that about 78 percent of female university graduates in the country are unemployed.
  It is hoped, therefore, that these new women-only cities will allow more women to work and achieve greater financial independence, while gender segregation is maintained, the Guardian notes.
  The Saudi Industrial Property Authority (MODON), responsible for the municipality's development, said in statement that the site will be designed "for women workers in environment and working conditions consistent with the privacy of women according to Islamic guidelines and regulations."
  The development is expected to attract 500 million riyals (about $133 million) in investments and create nearly 5,000 jobs, RT notes. The women-only municipality is currently being designed and construction is slated to begin next year.

  Source: Saudi Arabia To Build Women-Only Industrial City: Reports (UPDATE)
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Wape wape eeehhh, wakimeza wakitema...
   
 12. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #12
  Sep 17, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Tatizo humu JF kuna-double standard ambayo ndio inatumika zaidi ili kuwepo au kuendeleza ugonjwa unaitwa unafiq.Sijui kwanini wanapenda kutumia "fake"wakati "original"ndio yenyewe na ni nzuri zaidi.Sasa uzi kama huu unasababisha watu kuonyesha madharau na "culture"za watu ama "dini"za watu.Huu ni ukweli na utabaki kuwa kweli.

  Saudi Arabia wanajaribu kuwasihi wananchi wao ambao wameishaichoka kingdom na wanataka nchi ifuate sheria ya kidemocrasia.Hakuna sheria ktk dini ya kiisilamu inayomkataza mwanamke asifanye kazi au kujiendeleza kimaisha isipokuwa mtu asikiuke sheria ya dini.Sasa wanajaribu kila mbinu ya kuwaliwaza wanawake lakini kiukweli tu inabidi wafalme waachie ngazi ili nchi ifuate sheria ya kidini ambayo ndio itawaongoza ktk masha bora zaidi na wajali haki na kusiwe na ubaguzi.
   
 13. w

  wakuonewa Member

  #13
  Sep 18, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 3
  Nafikir inabid tuwe care ktk kutoa thread zetu co mtu anakurupuka tu na anaamua kuchanganya tradition ya waarab na kiislam
   
 14. Sijali

  Sijali JF-Expert Member

  #14
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 2,062
  Likes Received: 421
  Trophy Points: 180
  Katika Forum nyingine, kama unazungumzia jambo, fikra ambalo si utunzi wako, yaani umelinukuu, hawaliweki hadi utoe link ya source ulikopatia jambo hilo.
  Ikiwa Jamii Forum ni ya Intelligent People, nadhani waanze kufikiria kufanya hivyo, la sivyo kila mtu ataleta tafsiri yake.
   
 15. mkomatembo

  mkomatembo JF-Expert Member

  #15
  Sep 18, 2012
  Joined: Dec 17, 2011
  Messages: 1,466
  Likes Received: 503
  Trophy Points: 280
  Jamii Forums ya sasa sio ile toluzoweya kuiona! kweli hadhi yake inaporomoka siku hadi siku, unafiq umezidi, uchochezi na chuki hasa za kidini zimezidi, kama MODS wangekuwa makini wasingeruhusu upuuzi kama huo kujadiliwa. Ambao unazidisha chuki baina yetu, hii si dalili nzuri.
   
 16. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #16
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,575
  Likes Received: 1,942
  Trophy Points: 280
  Mkuu nimesema ni news niliona kwenye CNN.Pia soma "My take"

  Sasa kama uli doubt habari hii,unge google kujihakikishia halafu urudi hapa kusema ni uongo...Nimekusaidia,acha uvivu.

  [​IMG]
  Saudi's women-only city: what to expect | World news | The Guardian

  Saudi Women to Get Their Own ‘City' - ABC News
   
 17. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #17
  Sep 19, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa viazi, bora hata statusquo. Any prejudicial or distinguishing treatment of an individual based on his or her membership - or perceived membership is discrimination, period.
   
 18. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #18
  Sep 19, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Hiyo city kutakuwa na kununiana mwanzo mwisho...
   
 19. Mdau Makini

  Mdau Makini Member

  #19
  Sep 19, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 70
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  "If you Don't know where your going, any road will get you there"!
   
 20. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #20
  Sep 19, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,575
  Likes Received: 1,942
  Trophy Points: 280
  Any road will get you anywhere you dont know?Interesting...
   
Loading...