Saudi Arabia Vs The World

Nalendwa

Nalendwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Messages
7,249
Likes
12,379
Points
280
Nalendwa

Nalendwa

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2016
7,249 12,379 280
jamalkahshoggi-png.898562
181012102813-jamal-khashoggi-apple-watch-detalles-desaparicion-consulado-saudi-cafe-cnnee-0000-jpg.898567

Kufuatia kupotoea kusikojulikana kwa mwandishi wa the WP mwenye asili ya Saudia Jamal Khashoggi, kumetokea sintomfahamu ya mahusiano kati ya Saud Arabia na baadhi ya powerhouse countries in the World.

- Donald Trump on Saturday, " Severe Punishment" if Saudis are found to be behind his death.

- Saudia Arabia wakajibu, in case of Economic Sanctions from the US, " we'll retaliate with greater action.."

- Arab countries wanao Support Saudia ktk hili, Oman, Bahrain, Jordan, Palestine, Lebanon, U.A.E, Egypt.

- UK, France, Germany demands "Credible Investigation on Khashoggi's disappearance, light must be shed"

- US lawmakers, "If Trump doesn't do something on this, Congress will"

- International firms wapanga kujitoa toka high profile International summit, itayofanyika Riyadh mwisho wa mwezi.

It's Saudia Vs the World. Sijui nani atatoka kidedea...

375x250-jpg.898566
 
Nalendwa

Nalendwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Messages
7,249
Likes
12,379
Points
280
Nalendwa

Nalendwa

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2016
7,249 12,379 280
It seems the original plan of the killers was to ship the slain body of the late Khashoggi to Saudi Arabia after embalment hence the inclusion of an Autopsy Expert in the itinerary.

It's likely when the body of the deceased proved bulky for shipping, it's when they resolved to dismember it so as to ease the shipping.

It's bizarre how they planned to accomplish such a thing in a foreign country, and actually think they can get away with it..

We can argue it's probably a mind of a 33yrs old MBS but, what about those who surround him?!
I can't comprehend the Thought behind this.
 
cariha

cariha

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2015
Messages
5,758
Likes
8,487
Points
280
cariha

cariha

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2015
5,758 8,487 280
It's bizarre how they planned to accomplish such a thing in a foreign country, and actually think they can get away with it..

We can argue it's probably a mind of a 33yrs old MBS but, what about those who surrounds him?!
I can't comprehend the Thought behind this.
Hawa kutumia akili kutekeleza hili swala yani ka si wataalamu
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
3,690
Likes
4,082
Points
280
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
3,690 4,082 280
View attachment 898562 View attachment 898567

Kufuatia kupotoea kusikojulikana kwa mwandishi wa the WP mwenye asili ya Saudia Jamal Khashoggi, kumetokea sintomfahamu ya mahusiano kati ya Saud Arabia na baadhi ya powerhouse countries in the World.

- Donald Trump on Saturday, " Severe Punishment" if Saudis are found to be behind his death.

- Saudia Arabia wakajibu, in case of Economic Sanctions from the US, " we'll retaliate with greater action.."

- Arab countries wanao Support Saudia ktk hili, Oman, Bahrain, Jordan, Palestine, Lebanon, U.A.E, Egypt.

- UK, France, Germany demands "Credible Investigation on Khashoggi's disappearance, light must be shed"

- US lawmakers, "If Trump doesn't do something on this, Congress will"

- International firms wapanga kujitoa toka high profile International summit, itayofanyika Riyadh mwisho wa mwezi.

It's Saudia Vs the World. Sijui nani atatoka kidedea...

View attachment 898566
Samahani lakini bro,hivi chanzo cha kifo cha huyu muandishi wa habari ni nini ?

Yaani kwa sababu gani ameuwawa ?
 
Nalendwa

Nalendwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Messages
7,249
Likes
12,379
Points
280
Nalendwa

Nalendwa

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2016
7,249 12,379 280
Sidhani kama huyu mfalme atakuwa hajui hii issue, huu mpango ulisukwa mahususi na mwanaye make marehemu Jamal Khashoggi amekuwa mkosoaji mkubwa wa utawala wa kiimla wa Saudia.

"At least four of the alleged killers have ties to M.B.S.,...and anybody who knows Saudi Arabia knows that this brazen attack could never have happened without M.B.S.’s approval.."

I wonder how all this cry will (for sure) be an obstacle to Prince, as a heir to the Throne.
Media is going 100 on both Trump and MBS, a.k.a "Mr Bone Saw"

Opinion | A President Kowtowing to a Mad Prince
 
Z

zyogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Messages
323
Likes
236
Points
60
Z

zyogo

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2017
323 236 60
Kwa hili msaudia hatoki yaani hata kipofu huwezi kumdanganya.... Kusema US anategemea Saudia kiuchumi sikatai Coz wote tunahitajiana hasa nchi zilizoendelea na zenye resources kama Saudia lakini HOW is US economy depends on SAUDI 's.. Kama ni kuhusu mafuta 2014 nikiwa chuoni kwenye somo moja la kuitwa international politics niliwahi kusoma kuwa US wana hazina ya mafuta ya kutumia for the following 60 yrs+ na bado walikua wakiendelea ku exploit kutoka nchi kama iraq, libya and so on. Hivi kwa hii miaka 60 hawezi akawa amejipanga kupata bwalo lingine la kunyonya?
Tatizo ni mafuta kuuzwa kwa dola
 
Abunwasi

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2009
Messages
3,802
Likes
1,560
Points
280
Abunwasi

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2009
3,802 1,560 280
Saudia nao wajinga; wanaipa Iran ushindi wa mezani kizembe. How comes wanakana kuhusika na kupotea kwa Khashogi wakati kwa mara ya mwisho aliingia ubalozini kwao na hakutoka? Upuuzi kama huo walitakiwa waufanyie shithole countries na sio nchi kama Turkey.
Khashogi naye mzembe; kwa mazingira kama yale alikulije kwenda ubalozi wa aina ile bila tahadhari? Alishindwa vipi kuwa na escort ya watu wawili au watatu? Anyway, siku ikifika miti yote huteleza.
Huu ni mtihani mwingine kwa nchi za magharibi has US ambapo unafiki wao utajidhirihisha.
Mwaka Jana double agent wa kirusi aliyekimbilia UK nusra auawe kwa kutumia gas ya sumu. Kilichotokea hapo ni kelele dunia nzima ya magharibi wakiongozwa na UK pamoja na mjomba wake US, walishindikiza dunia nzima ilani kitendo kile hata kabla ya uchunguzi kukamilika na baada ya hapo walilazimisha UN Security Council ikae na kutoa maamuzi kuhusu hili. Leo hii Trump anasogeza miguu[dragging his feet]
anaongea kwa kubabaika na wote tunajua sababu kubwa ni mafuta ya bei chee to KSA ingawa US kwa sasa wanajitosheleza na jingine ni biashara ya silaha. Bwana Trump hataki kuwaudhi watengeneza silaha nchini kwake anajibaraguza na mwisho wa siku hakuna cha maana atakachosema.
Dunia sasa imejaa unafiki mkubwa kwani tendo hili lingefanywa na North Korea au Iran dunia nzima ingesimama.
 
Nalendwa

Nalendwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Messages
7,249
Likes
12,379
Points
280
Nalendwa

Nalendwa

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2016
7,249 12,379 280
N

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2013
Messages
2,416
Likes
1,836
Points
280
Age
55
N

Nyanjomigire

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2013
2,416 1,836 280
"At least four of the alleged killers have ties to M.B.S.,...and anybody who knows Saudi Arabia knows that this brazen attack could never have happened without M.B.S.’s approval.."

I wonder how all this cry will (for sure) be an obstacle to Prince, as a heir to the Throne.
Media is going 100 on both Trump and MBS, a.k.a "Mr Bone Saw"

Opinion | A President Kowtowing to a Mad Prince
Mr Bone Saw...??? It's likely they applied the Electric Saw to disect the corpse of the deceased Khashoggi. The brutal Saudis.
 
Nalendwa

Nalendwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Messages
7,249
Likes
12,379
Points
280
Nalendwa

Nalendwa

JF-Expert Member
Joined Aug 9, 2016
7,249 12,379 280
Mr Bone Saw...??? It's likely they applied the Electric Saw to disect the corpse of the deceased Khashoggi. The brutal Saudis.

Electrical Saw!.😳😞😰

Well, now that the King has Intervened may be some light will be shed..
 
Abunwasi

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2009
Messages
3,802
Likes
1,560
Points
280
Abunwasi

Abunwasi

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2009
3,802 1,560 280
It's bizarre how they planned to accomplish such a thing in a foreign country, and actually think they can get away with it..

We can argue it's probably a mind of a 33yrs old MBS but, what about those who surround him?!
I can't comprehend the Thought behind this.
From this catastrophe it shows that
1. with all the training and sophisticated equipment of thier intelligence apparatus, these arabs are still way back in their security system and there is no way
the can stand up to isreal intelligence system.
2. Due to numerous version of the event that the KSA has provided to the world, it also show that there many cooks making
the broth.
 
Forum statistics

Threads 1,238,755
Members 476,122
Posts 29,329,395