Saudi Arabia Vs The World

Saudi Arabia Vs The World

Nalendwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2016
Posts
7,466
Reaction score
13,031
JamalKahshoggi.png
181012102813-jamal-khashoggi-apple-watch-detalles-desaparicion-consulado-saudi-cafe-cnnee-0000...jpg

Kufuatia kupotoea kusikojulikana kwa mwandishi wa the WP mwenye asili ya Saudia Jamal Khashoggi, kumetokea sintomfahamu ya mahusiano kati ya Saud Arabia na baadhi ya powerhouse countries in the World.

- Donald Trump on Saturday, " Severe Punishment" if Saudis are found to be behind his death.

- Saudia Arabia wakajibu, in case of Economic Sanctions from the US, " we'll retaliate with greater action.."

- Arab countries wanao Support Saudia ktk hili, Oman, Bahrain, Jordan, Palestine, Lebanon, U.A.E, Egypt.

- UK, France, Germany demands "Credible Investigation on Khashoggi's disappearance, light must be shed"

- US lawmakers, "If Trump doesn't do something on this, Congress will"

- International firms wapanga kujitoa toka high profile International summit, itayofanyika Riyadh mwisho wa mwezi.

It's Saudia Vs the World. Sijui nani atatoka kidedea...

375x250.jpg
 
Hah
Hope Mo hajasahaulika mkuu..

Pamoja na 'International' Media coverage ya kupotea kwake, ni ndoto kupata 'International' support kama hivi.
haha!!!! International support NO international coverage YES..

Nataka nijue nini kitatokea especially kwa crown Prince salman.
 
View attachment 898562View attachment 898567

Kufuatia kupotoea kusikojulikana kwa mwandishi wa the WP mwenye asili ya Saudia Jamal Khashoggi, kumetokea sintomfahamu ya mahusiano kati ya Saud Arabia na baadhi ya powerhouse countries in the World.

- Donald Trump on Saturday, " Severe Punishment" if Saudis are found to be behind his death.

- Saudia Arabia wakajibu, in case of Economic Sanctions from the US, " we'll retaliate with greater action.."

- Arab countries wanao Support Saudia ktk hili, Oman, Bahrain, Jordan, Palestine, Lebanon, U.A.E, Egypt.

- UK, France, Germany demands "Credible Investigation on Khashoggi's disappearance, light must be shed"

- US lawmakers, "If Trump doesn't do something on this, Congress will"

- International firms wapanga kujitoa toka high profile International summit, itayofanyika Riyadh mwisho wa mwezi.

It's Saudia Vs the World. Sijui nani atatoka kidedea...

View attachment 898566
Sio Saudi Arabia vs the world.. Ni the world vs that mad blood thirsty MBS
 
Saudia nao wajinga; wanaipa Iran ushindi wa mezani kizembe. How comes wanakana kuhusika na kupotea kwa Khashogi wakati kwa mara ya mwisho aliingia ubalozini kwao na hakutoka? Upuuzi kama huo walitakiwa waufanyie shithole countries na sio nchi kama Turkey.

Khashogi naye mzembe; kwa mazingira kama yale alikubalije kwenda ubalozi wa aina ile bila tahadhari? Alishindwa vipi kuwa na escort ya watu wawili au watatu? Anyway, siku ikifika miti yote huteleza.
 
Kwa ile response yao, kama kweli watakuwa imposed na sanctions, wanaweza kurudisha mapigo patapo muuma M US zaidi.
Iran, Oil..
Israel sijui wata respond vipi.
 
Uchumi wa marekani unategemea saud arabia,undefinedhawawezi kuifanya kituundefinedsaud wameshatoa onyo kwa nchi yeyote itayojaribu kuwawekea sanction,watajibu vikali
Kwa maana nyingine Saud kampakata Trump sio akifurukuta kwa sanctions anaweza muweka pembeni !!?
kuna kila dalili ipo siku Saudi Arabia itagongwa kwa mabumu ya U.S. !!
yakitokea Yemen!!
 
Hao wazungu wataishia tu kupiga kelele ila hawana jipya hapo ndo unafiki wao utapoonekana
 
Kwa maana nyingine Saud kampakata Trump sio akifurukuta kwa sanctions anaweza muweka pembeni !!?
kuna kila dalili ipo siku Saudi Arabia itagongwa kwa mabumu ya U.S. !!
yakitokea Yemen!!
Ukimuona mgonjwa anatupatupa miguu usidhani anapona jua ndio roho inaacha mwili kwa kupitia nyayoni.amerika ni kama inazungukwa na kiza fulani,ila sijui ni kiza cha namna gani.
 
Huyu bwana Jamal Khashoggi, inaonekana aliingizwa mkenge eti aende pale Ubalozi Mdogo (Consular Office) Istanbul akaandaliwe hati ya ndoa pale kwani aliishapendana na binti wa Ki-Turkey ambaye wakati anaingia ndani alikuwa kamuacha nje.

Kumbe waarabu wenzake mle ubalozini waliishajipanga kummaliza kwani alikuwa ni mkosoaji mkubwa wa utawala wa kiimla wa Saudia akiiandikia gazeti maarufu la Washington Post kama Columnist.

Inaonekana baada ya kufanyiwa Intensive Grilling and Interrogation ndio wakammaliza kwa kumfanyia Bodily Dismembering na mwisho kuweka viungo vyake kwenye maboksi mithili ya parcels na kusafirisha hadi Saudia.

Baada ya zoezi kwisha, wauaji takriban 15 walisafiri kurejea nyumbani, sita kwa ndege waliokuja nayo awali walirejea via Cairo na baadaye to Riadh, ilhali wengine saba walirejea nyumbani kwa ndege nyingine kupitia Dubai and then Riadh na wawili walirejea through commercial airlines.

Naona sasa Saudia baada ya kuumbuka anajaribu kumfanyia Marekani "Blackmail" kuwa kama vipi vipi wanaweza wakaongea na Iran ili wazike uhasama na pia wawape Russia Military Base in North West Saudi Arabia pia wajenge mahusiano ya karibu na China.

Ngoja tuone mwisho itakuwaje ila huu ufalme wa Saudia huku tuendako inaonekana wanaishi "On a borrowed time" kwani utawala wao hauna chembe yoyote ya Mungu kama ambavyo wamekuwa wakihadaa dunia. Ni genge la Wahuni watupu na Matapeli wenye uchu wa madaraka. They've outlived their welcome.

NB: Saa ya Khashoggi aina ya Apple ilirekodi matukio yote na kuyarusha kwenye simu yake iPhone aliyomuachia mchumba wake nje na kwa sasa iko mikononi mwa The Turkish Security Agencies. Juhudi za wauwaji wake kutaka kuvuruga mawasiliano yake zilifeli.
 
Nalendwa,

Hakuna chochote kinachoweza kufanywa kwa Saudi Arabia, sanasana watatafuta "a compromise ground" na yataishia hapohapo..

Mtu kashikilia mafuta ya kuyasambaza dunia nzima, halafu unamwambia nini?

Isitoshe Marekani itabidi afikirie mauzo yake ya silaha kiasi kwamba ni vigumu kusimamisha fedha za malipo ya silaha hizo kutoka kwa hawa waraabu.

Hivyo wazo la kuwawekea vikwazo ni gumu kulitekeleza.
 
Sidhani kama Marekani Kuna kitu kikubwa ataifanya Saudia kipindi hiki ambapo anategemewa (Saudia) kuzalisha mafuta zaidi kuepuka kupanda Bei ya mafuta baada ya vikwazo vya Iran kuanza kazi rasmi November 4th.

Trump kasema kaongea na simu na Mfalme Salman na amekataa Saudia kuhusika na tukio hilo la kinyama.

Trump mwenyewe Jana kakubali kwamba kuiwekea Saudia vikwazo Upande wa Jeshi kwa kutouzia watakua wanajiumiza wenyewe.

Hiyo issue itaishia hivihivi,labda kidogo wafanye kitu ila kwa Upande wa Marekani SIDHANI.
 
Dunia bwana inachekesha kweli,huku China kampoteza interpol,huku Saudis kampoteza mwandishi,kwingine asiyejulikana kampoteza muhindi.basis dunia tafarani bora hata mbugani kuna amani.
 
Kwa hili msaudia hatoki yaani hata kipofu huwezi kumdanganya.... Kusema US anategemea Saudia kiuchumi sikatai Coz wote tunahitajiana hasa nchi zilizoendelea na zenye resources kama Saudia lakini HOW is US economy depends on SAUDI 's.. Kama ni kuhusu mafuta 2014 nikiwa chuoni kwenye somo moja la kuitwa international politics niliwahi kusoma kuwa US wana hazina ya mafuta ya kutumia for the following 60 yrs+ na bado walikua wakiendelea ku exploit kutoka nchi kama iraq, libya and so on. Hivi kwa hii miaka 60 hawezi akawa amejipanga kupata bwalo lingine la kunyonya?
 
View attachment 898562View attachment 898567

Kufuatia kupotoea kusikojulikana kwa mwandishi wa the WP mwenye asili ya Saudia Jamal Khashoggi, kumetokea sintomfahamu ya mahusiano kati ya Saud Arabia na baadhi ya powerhouse countries in the World.

- Donald Trump on Saturday, " Severe Punishment" if Saudis are found to be behind his death.

- Saudia Arabia wakajibu, in case of Economic Sanctions from the US, " we'll retaliate with greater action.."

- Arab countries wanao Support Saudia ktk hili, Oman, Bahrain, Jordan, Palestine, Lebanon, U.A.E, Egypt.

- UK, France, Germany demands "Credible Investigation on Khashoggi's disappearance, light must be shed"

- US lawmakers, "If Trump doesn't do something on this, Congress will"

- International firms wapanga kujitoa toka high profile International summit, itayofanyika Riyadh mwisho wa mwezi.

It's Saudia Vs the World. Sijui nani atatoka kidedea...

View attachment 898566

Mimi ndiyo sitochoka; kila nikivurugwa na walimwengu, kazi yangu kuingiza mkono kwenye boksa yangu, ninabinyabinya korodani zangu taratibu, watoto wa mjini wanaita "kukanda ngano". Hii inaniepusha na sonona!
 
Back
Top Bottom