Saudi Arabia Vs The World

Dunia bwana inachekesha kweli,huku China kampoteza interpol,huku Saudis kampoteza mwandishi,kwingine asiyejulikana kampoteza muhindi.basis dunia tafarani bora hata mbugani kuna amani.
undefinedTrump kamtuma waziri pompei kwenda kuongea na King Salman,undefinednadhani wanakwenda kumpoza hasira kidogo na kumwambia hawana mpango wa kumwekea vikwazo,undefinedsasa mwezi ujao ni uchaguzi kule marekani na Trump anaweza kujiroga asipochukua hatua na kama kutatokea ushahidi mwingine
 
undefinedTrump kamtuma waziri pompei kwenda kuongea na King Salman,undefinednadhani wanakwenda kumpoza hasira kidogo na kumwambia hawana mpango wa kumwekea vikwazo,undefinedsasa mwezi ujao ni uchaguzi kule marekani na Trump anaweza kujiroga asipochukua hatua na kama kutatokea ushahidi mwingine
Kuna kitu hakipo sawa pahali Fulani hii dunia imeinama kidogo mkuu.nahisi pana jambo laja.huyu trump huyu.Haya
 
Huyu bwana Jamal Khashoggi, inaonekana aliingizwa mkenge eti aende pale Ubalozi Mdogo (Consular Office) Istanbul akaandaliwe hati ya ndoa pale kwani aliishapendana na binti wa Ki-Turkey ambaye wakati anaingia ndani alikuwa kamuacha nje.

Kumbe waarabu wenzake mle ubalozini waliishajipanga kummaliza kwani alikuwa ni mkosoaji mkubwa wa utawala wa kiimla wa Saudia akiiandikia gazeti maarufu la Washington Post kama Columnist.

Inaonekana baada ya kufanyiwa Intensive Grilling and Interrogation ndio wakammaliza kwa kumfanyia Bodily Dismembering na mwisho kuweka viungo vyake kwenye maboksi mithili ya parcels na kusafirisha hadi Saudia.

Baada ya zoezi kwisha, wauaji takriban 15 walisafiri kurejea nyumbani, sita kwa ndege waliokuja nayo awali walirejea via Cairo na baadaye to Riadh, ilhali wengine saba walirejea nyumbani kwa ndege nyingine kupitia Dubai and then Riadh na wawili walirejea through commercial airlines.

Naona sasa Saudia baada ya kuumbuka anajaribu kumfanyia Marekani "Blackmail" kuwa kama vipi vipi wanaweza wakaongea na Iran ili wazike uhasama na pia wawape Russia Military Base in North West Saudi Arabia pia wajenge mahusiano ya karibu na China.

Ngoja tuone mwisho itakuwaje ila huu ufalme wa Saudia huku tuendako inaonekana wanaishi "On a borrowed time" kwani utawala wao hauna chembe yoyote ya Mungu kama ambavyo wamekuwa wakihadaa dunia. Ni genge la Wahuni watupu na Matapeli wenye uchu wa madaraka. They've outlived their welcome.

NB: Saa ya Khashoggi aina ya Apple ilirekodi matukio yote na kuyarusha kwenye simu yake iPhone aliyomuachia mchumba wake nje na kwa sasa iko mikononi mwa The Turkish Security Agencies. Juhudi za wauwaji wake kutaka kuvuruga mawasiliano yake zilifeli.
Utawala ule wakifalme hauna uhusiano wowote na Uislam, yapo pale keep maslahi tu majizi na mauwaji makubwa...
 
Kutoka viunga vya wana diplomasia ndani ya Washington DC na Ankara....

Ili kuizima hii issue, lawama zote atatwishwa Crown Prince MBS ambaye ndiye aliratibu hili suala bila idhini ya Mfalme

Kinachofanyika, ni Crown Prince kuvuliwa cheo hicho na kupewa Mwana mwingine wa Mfalme.

Case closed....

AMERICA itaendelea na deal la kuiuzia silaha Saudia Arabia lenye thaman la $100 billion

Ndio maana Trump kamtuma Secretary of State kwenda Riyadh kuonana na Mfalme...baada ya leo Rais Erdogan wa Turkey kuongea kwa simu na Mfalme wa Saudia Arabia
 
Nalendwa,

Hakuna chochote kinachoweza kufanywa kwa Saudi Arabia, sanasana watatafuta "a compromise ground" na yataishia hapohapo..

Mtu kashikilia mafuta ya kuyasambaza dunia nzima, halafu unamwambia nini?

Isitoshe Marekani itabidi afikirie mauzo yake ya silaha kiasi kwamba ni vigumu kusimamisha fedha za malipo ya silaha hizo kutoka kwa hawa waraabu.

Hivyo wazo la kuwawekea vikwazo ni gumu kulitekeleza.


Hii ya silaha naona some of the lawmakers wanakuwa wakali kiasi.
Ila ya mafuta ndo shughuli, Prince akiudhiwa sana anaweza leta mtafaruki duniani.
Ingawa kakutana na Trump nae kichwa ngumu, smart business man, and a super 'negotiator'
 
Sidhani kama Marekani Kuna kitu kikubwa ataifanya Saudia kipindi hiki ambapo anategemewa (Saudia) kuzalisha mafuta zaidi kuepuka kupanda Bei ya mafuta baada ya vikwazo vya Iran kuanza kazi rasmi November 4th.

Trump kasema kaongea na simu na Mfalme Salman na amekataa Saudia kuhusika na tukio hilo la kinyama.

Trump mwenyewe Jana kakubali kwamba kuiwekea Saudia vikwazo Upande wa Jeshi kwa kutouzia watakua wanajiumiza wenyewe.

Hiyo issue itaishia hivihivi,labda kidogo wafanye kitu ila kwa Upande wa Marekani SIDHANI.


Kokuyo shughuli inakuja kwenye system yao Wamarekani. Kama unavyoelewa Trump peke yake sio wa kuamua kila kitu.
Si unaona Rubio na Flake are already out on this. Wa upande wake hawa.
Sija fatilia kuona Dems wanasemaje, na jinsi ambavyo they're trying to fight him..
 
Saudia nao wajinga; wanaipa Iran ushindi wa mezani kizembe. How comes wanakana kuhusika na kupotea kwa Khashogi wakati kwa mara ya mwisho aliingia ubalozini kwao na hakutoka? Upuuzi kama huo walitakiwa waufanyie shithole countries na sio nchi kama Turkey.

Khashogi naye mzembe; kwa mazingira kama yale alikubalije kwenda ubalozi wa aina ile bila tahadhari? Alishindwa vipi kuwa na escort ya watu wawili au watatu? Anyway, siku ikifika miti yote huteleza.
Iran anahusikaje hapo kwenye sakata hili??
 
Kwa maana nyingine Saud kampakata Trump sio akifurukuta kwa sanctions anaweza muweka pembeni !!?
kuna kila dalili ipo siku Saudi Arabia itagongwa kwa mabumu ya U.S. !!
yakitokea Yemen!!
Mkuu hii post comment yako adimu sana aiseee, hebu tujaribu kuhifadhi kwa ajili ya baadae
 
SAUDIS ARE PREPARING TO ADMIT KHASHOGGI DIED DURING INTERROGATION.

The Saudis are preparing a report that will acknowledge that Saudi journalist Jamal Khashoggi's death was the result of an interrogation that went wrong, one that was intended to lead to his abduction from Turkey, according to two sources.

One source says the report will likely conclude that the operation was carried out without clearance and transparency and that those involved will be held responsible.
One of the sources acknowledged that the report is still being prepared and cautioned that things could change.

Saudi government preparing to say Khashoggi was killed during interrogation gone wrong
 
undefinedTrump kamtuma waziri pompei kwenda kuongea na King Salman,undefinednadhani wanakwenda kumpoza hasira kidogo na kumwambia hawana mpango wa kumwekea vikwazo,undefinedsasa mwezi ujao ni uchaguzi kule marekani na Trump anaweza kujiroga asipochukua hatua na kama kutatokea ushahidi mwingine


Kapata ahueni sasa, now that they admitted to the killings.
 
Huku kwetu MO ndo basi tena,wabongo washamsahau.Ila huko nadhani Saudia watatafuta wa kumtwika mzigo.Either kakikundi ka uhalifu n.k
Saudi Arabia kukiri siku siyo nyingi mwanahabari alifariki akihojiwa Ubalozini. Hatua Kali za kinidhamu kuchukuliwa kwa wahusika.
 
Huku kwetu MO ndo basi tena,wabongo washamsahau.Ila huko nadhani Saudia watatafuta wa kumtwika mzigo.Either kakikundi ka uhalifu n.k
Saudi Arabia kukiri siku siyo nyingi mwanahabari alifariki akihojiwa Ubalozini. Hatua Kali za kinidhamu kuchukuliwa kwa wahusika.
 
Richard ze kokuyo Elungata dudus Nyanjomigire

Prince kala kibano cha kutosha nini!, mpaka ana admit?!
Interrogation gone wrong ndo wakaamua kum chop up!..
Hakuna namna wangeweza chomoa kwenye hizo tuhuma especially ukizingatia mazingira/nchi zilimofanyikia. Ingekuwa shitholes wangechomoa lakini sio nchi kama Turkey zenye kila aina ya technology ku-trace nyendo za binadamu.
 
Back
Top Bottom