Saudi Arabia na Vatican city

Saudi Arabia na Vatican city

Unamuitaje mwenzio kafiri wakati wote maskini tena unakuta uyo kafiri kakuzidi vitu vingi...izi dini znapumbaza watu
 
Kipimo chenu nyinyi huwa mnaangalia Muislam akiua mnasema huyo ni gaidi lakini hata Adolf Hiltler naye alikuwa akiuwa Jews ktk Detention Camps zake alikuwa akikata mikono na miguu akiwa chinja alikuwa akiwauwa atakavyo lakini utasikia alikuwa ni Dictator na sio gaidi kwasababu tu ni Kafiri mwenzenu!!
Kwaio idd amin dada nae alikuwa gaidi..?
 
una compare Vatican na vitu vya kijinga.

Makka haisimami bila Mtawa mmoja jina Bi khadija ,spy aliyetumwa na kanisa catholic kuupika (reform) uislamu .

akiuua wanaume watatu kabla ya kuolewa na mtume.akiwa ndiye master plan ya safari zote za mtume.

Safari za kujifunza elimu ghali kwa wasabaeans.

leo wewe una thubutu kulishusha hadhi kanisa Catholic .kanisa lililo financial uislamu.

utakuwa zoba wewe.
Mkuu kwa nini usitiririke zaidi?
 
Crusade war n'jomba ilikuwa vita ndiyo lakini ilikuwa ni vita kwa ajili ya kujilinda au "defensive war" na haikuanzishwa na wakristo, vilisababishwa na wavamizi wa kutoka mashariki ya kati kwa maana ya waarabu na waislamu waliotaka kuiteka na kuibadilisha ulaya wakianzia na nchi zilizo pakana na Mediterranean, sasa labda nikuulize tu hata wewe unapovamiwa na wahuni nyumbani kwako wewe ukae kimya tu ukikunja mikono kuruhusu kichapo ilihali una uwezo wa kupigana???
lengo la kwanza la crusade ilikuwa ni kuukamata mji wa jerusalem,
hapa utaona nani hasa alianzisha vita,
mzungu alitoka ulaya kuja uarabuni kutaka kumiliki mji wa jerusalem.
 
Ninacho Amini mm Ugaidi ni Itiqad ya Mtu anaweza akawa ni Muislam /Mkristo hakuna dini inayofungamana na Fikra hizi za Kigaidi

Kwamfano Uislam ni dini ambayo iko mbali na Fikra za Kigaida sema watu wengi hawafahamu Mafundisho sahihi ya Uislam wao wanawaangalia Makundi Potezu kama Alshabaab , Boko Haram & ISIS hayo Makundi yako mbali na Mafundisho ya kiislam haya ni makundi ya watu wahuni na Waovu wanaofanya Ufisadi katika Ardhi kwasababu ya Ujinga walionao hawaja Soma Dini ni watu wajinga Hawana Hata Wanachuoni ( Islamic Scholars) wanao waunga mkono Bali hawa ndio wanaotoa Image Mbaya ya Uislam lakini Uislam uko Mbali kabisa na Makundi hayo

Mfano Mwingine Kule Africa ya Kati kuna kikundi Kinaitwa ANT-BARAKA hiki ni kikundi cha Kigaidi kinacho endeshwa na Wakristo Je kwakuchukulia Matendo yanayofanywa na Ant-Baraka na sisi tuseme Ukristo ni Dini ya Kigaidi?
Get to know mafundisho ya kiislam kuanzia kuanzishwa kwake.
Pia jifunze chanzo na maana ya boko haram pia ant baraka
Jifunze ndio uje ubishane
 
Kwa kukufungua bongo tu mleta mada ni kwamba Saudi a Arab ni nchi ambayo yeyote anaweza kwenda akiwa na tamaduni zake mke wa Trump sio wa kwanza kuvaa hivyo Saudi a Arab Lakini ndani ya Saudia Arabia kuna miji mitakatifu Ambayo ni Mecca huko hawezi kutia mguu akiwa kichwa wazi hata Trump hawezi kwenda kule kwani ni ajili ya muislam tu.Kuna tofauti kubwa kati ya Mecca na Saudia Arabia, Vatican ni sehemu ya kanisa/nyumba ya ibada hivyo ni lazima heshima iwepo labda nikuulize kwanini alijifunuka kichwani Lakini kanisani kwenu hamjifunuki kichwani
 
Back
Top Bottom