ongeza Matiko, Magesa, Malicha Mutatiro, Mwihechi, Rhobi, Mugesi, Chingw'a, Mugendi, Mwisendi, Megera, Werema, Matinde, Warioba, Ryoba need I say more?
Kuna mzungu mmoja anaitwaa masanjaa
Nawaunga mkono hawataki majina ya kishirikia na ya kikafiriiii!!Wizara ya mambo ya ndani ya Saudi Arabia imepiga marufuku majina hamsini ambayo yapo kinyume na tamaduni pamoja na dini ambapo kuanzia sasa, wazazi kutoka falme hiyo hawataruhusiwa tena kuwapa watoto wao.Majina hayo ni kama Linda, Alice, Elaine au Binyamin (jina lenye maana Benjamin) ambapo jina la Benjamin (Binyamin) kwa dini ya kiislamu linaaminika kuwa jina la mtoto wa mtume Jacob, yaani Yacoub kwa dini.
Mengine katika orodha hiyo ambayo hayatoruhusiwa ni kwa sababu yanaaminika kuwa yenye kufuru, yasiyo ya kiarabu na yasio ya kiislamu au yenye kupingana na tamaduni na dini ya falme hiyo.
Sababu nyingine ni ya kigeni ama ya ughaibuni yakiwemo yenye maana ya ufalme au ukubwa, cheo flani kama Sumuw (mtukufu), Malek (mfalme) na Malika (Malkia).
Majina mengine hayapo katika jamii hizi hivyo hakuna sababu zilizotolewa juu yake, hii ni sehemu nyingine ya orodha yenyewe ambapo ni Malaak (angel), Abdul Aati, Abdul Naser, Abdul Musleh, Binyamin (Arabic for Benjamin) Naris, Yara, Sitav.
Mengine ni Loland, Tilaj, Barrah, Abdul Nabi, Abdul Rasool, Sumuw (highness), Al Mamlaka (the kingdom), Malika (queen), Mamlaka (kingdom), Tabarak (blessed), Nardeen, Sandy, Rama (Hindu god), Maline, Elaine, Inar, Maliktina
Maya.
My take: Ni wakati sasa na sisi tukaanza kutumia majina yetu ya asili/kiswahili, unakuta mtu anaitwa John Charles Peter, Esther Edward Boniface, au Rashid Mohamed Abdallah yani hana jina linalooonyesha uasilia wake hata moja katika majina matatu. Ni kweli mtu mweupe katushika akili ila mengine tunaweza zuia mbona watu wa west Africa na South Africa wanatumia majina yao ya asili zaidi. Hivi kuna mzungu/muarabu anaitwa Wema Amani au Masanja Mshana au Bahati Upendo.!?
Wambura, Mageta, Wankuru, Nchagwa, Matinde, Maheri, Mseti, Bhoke, Mwera n.k hakuna sijui Alice, Joyce hasa bibi zetu inawawia vigumu sana kutamka badala ya Joyce yeye anasema Choisi.
sasa unaingia Mara..! lols
bora kwa kweli, mie napenda sana majina yetu sababu yanaonyesha asili yetu na siyo majina yote yamepanda ndege loh, hata haipendezi.
Mkuu ni kweli tutumie majina yetu ya asili, mimi mwenyewe nina jina la asili kuanzia kuanzia la kwangu baba mpaka babu hakuna cha Braton Brayan Brason
Nawaunga mkono hawataki majina ya kishirikia na ya kikafiriiii!!
The culture of tyranny in this age of information is a Selassian illusion that will remain to be pursued but never perfected.
We don't want to be perfect but atleast to preserve our identities through names which so far is done by most people around the world but not in Tanzania
Sawa kabisa kwa uamuzi huo!tutumie majina yetu kama Mgulukwenda,Nzasugwaso,Mfutakamba,Mkunde etc
Mnaotaka mbaki na majina ya asili msiishie hapo, muwe mnavaa na kiasili, kwani hata mavazi ya sasa ni amma ya kizungu amma ya kiasia.
Tena mpaka kwenye mtandao wa internet wasiingie, waanzishe wao wa kiasili from scratch.
Watu unafiki tu.
Wanalazimisha kwenda kiasili wakati hata maandishi wanayotumia yanatumia herufi za kirumi, mtandao wa Wamarekani, simu za Wakorea etc.
Baniani mbaya, kiatu chake dawa.
Kama umesoma post yangu vyema nimekiri mwishoni that mtu mweupe katushika akili ila mengine tunaweza fanya wenyewe
Kumpa mtu jina la asili na mambo ya simu, mitandao, sijui herufi ni tofauti sana. Ugumu uko wapi kumuita mtoto wako Kiranga badala ya Sean
Mimi nimeanza na kurudisha majina asilia na wewe/mwingine akipendezwa ataweka uzi wa kurudisha mavazi, mawasiliano asilia mwisho wa siku tutapiga hatua
Kama umesoma post yangu vyema nimekiri mwishoni that mtu mweupe katushika akili ila mengine tunaweza fanya wenyewe
Kumpa mtu jina la asili na mambo ya simu, mitandao, sijui herufi ni tofauti sana. Ugumu uko wapi kumuita mtoto wako Kiranga badala ya Sean
Mimi nimeanza na kurudisha majina asilia na wewe/mwingine akipendezwa ataweka uzi wa kurudisha mavazi, mawasiliano asilia mwisho wa siku tutapiga hatua