Saudi Arabia admits invading Bahrain

NICK2275

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
3,931
918
Saudi Arabia says it has responded to a "security threat" in neighboring Bahrain by staging a 1,000-troop invasion in an attempt to quell escalating anti-government protests.

“The council of ministers has confirmed that it has answered a request by Bahrain for support,” Riyadh said in a statement carried by SPA state news agency.

It said that under an agreement of the six-country [Persian] Gulf Cooperation Council, "any harm done to the security of a member state is considered a harm done to the security of all members."

A Saudi official said Monday that more than 1,000 troops, part of the Persian Gulf countries' Peninsula Shield Force, had entered Bahrain.

This came as Bahrain's opposition said it considered any foreign military intervention to be an occupation.

“We consider the arrival of any soldier, or military vehicle, into Bahraini territory.... an overt occupation of the kingdom of Bahrain and a conspiracy against the unarmed people of Bahrain,” said an opposition statement.

It called on the international community to act to ensure the “protection of the people of Bahrain from the danger of foreign military intervention.”

Meanwhile, Bahraini protesters are gathering in Pearl Square to protest against the occupation.

The Saudi intervention comes two days after US Defense Secretary Robert Gates visited Manama and held talks with King Hamada bin Isa Al Khalifa.

Gates said he urged the king to undertake rapid and significant reform.
Source-press tv

AH! Yetu machotu. Wazuri bado hawajazaliwa!
saudi.jpg
Mambo yamesha chachamaa huko
 
Kama wapinzani wa Bahrain ambao ni Washia wakishinda itakuwa na adhari kubwa sana kwa Saudia maana jimbo linalotoa karibu mafuta yote huko Saudia majority ni Washia na Watawala wa Saudia ni Wasuni ambao hawako tayari kuona nchi jirani yao ikitawaliwa na Washia..hii imekaa kimadhehebu zaidi..wacha tuendelee kuangalia tuone hii picha itaishia wapi.
 
Nawaunga mkono saudia coz mashia ni bidaa na kila bidaa amekula hasara thn hawa ndo wanaoanzisha vi2 ambavyo uislam hauvikubali
 
Nawaunga mkono saudia coz mashia ni bidaa na kila bidaa amekula hasara thn hawa ndo wanaoanzisha vi2 ambavyo uislam hauvikubali

Inachokifanya Saudia na UAE huko Bahrain ni kile ambacho USA wamekifanya kwa kuivamia Iraq,Afghanistan,Vietnam n.k..kama Saudia wasipokuwa makini itakula kwao maana Iran hawatavumilia kuona Washia wenzao wakionewa bila sababu ya msingi. Nadhani unajua jinsi gani Wairan wamekuwa mstari wa mbele kuifanya Iraq iwe ilivyo baada na kabla ya Sadam......kamchezo wanakotaka kucheza Saudia ni ka hatari lakini wacha tusubiri..time will tell...sitegemei tena kusikia Waislam wakilaani US kuvamia nchi nyingine maana Saudia nao wameanza haka kamchezo ka hatari
 
Siasa za waarabu naziogopa maana wao wako indoors zaidi na ndiyo maana Gaddafi aliwakacha katika umoja wa kiarabu maana hawatabiriki sijui ndiyo tuseme ule usemi aliosema mtume wao kuwa waarabu ni wanafiki.....hapa msinukuu vibaya katika udini naongelea waarabu na si waislam maana watu hawatachelewa kunishoot.

kujihami ni njia ya kuepuka ugomvi........nakimbia mbali nione ngumi yako itafika wapi?
 
Iran imezipiga mkwara Saudia na US kwa kutaka kuingilia mambo ya ndani ya Bahrain nchi ambayo kama ilivyo Iran ina waumini wa Shia wengi kuliko Sunni.

Soma hapa: PressTV - Iran warns on US, Saudi moves in PG

Wakati huo huo Wafuasi wa shia huko Bahrain wameapa kufa kama mashujaa dhidi ya uvamizi unaofanywa na Saudia kwenye nchi yao.

Soma hapa PressTV - Bahrain's Shias 'ready for martyrdom'

Wakati huo huo askari mmoja wa Ki-Saudia amepigwa risasi na kuuwawa huko Bahrain. Ikumbukwe askari wa Saudia wameingia Bahraiin hapo jana tu.

Soma hapa Official: Saudi soldier shot dead in Bahrain - Yahoo! News

Na mfalme wa Bahrai ametangaza hali ya dharura kwa miezi mitatu!

Soma hapa PressTV - Bahrain declares state of emergency

Swali kwa nini Saudia wameenda kununua ugomvi huko Bahrain?
 
Mambo mdundo!

15 March 2011 Last updated at 12:12 GMT
Bahrain king declares state of emergency after protests

_51606573_fa1d16c0-9c6c-4f82-b0b8-ab66ddd94f78.jpg

The king of Bahrain has declared a state of emergency, due to start immediately and which will last for three months, state TV has reported. The announcement follows weeks of unrest in the kingdom.

The nation's armed forces chief has been authorised to take all measures to "protect the safety of the country and its citizens", says the statement from the king. On Monday, forces from Gulf countries arrived to bolster the regime.
 
To protect American interests,there is a big American military base in Bahrein.The saudis have been called in as auxillary forces. The American want to show that they are impartial, so the need for an auxillary force, hence the Saudis.
 
Inachokifanya Saudia na UAE huko Bahrain ni kile ambacho USA wamekifanya kwa kuivamia Iraq,Afghanistan,Vietnam n.k..kama Saudia wasipokuwa makini itakula kwao maana Iran hawatavumilia kuona Washia wenzao wakionewa bila sababu ya msingi. Nadhani unajua jinsi gani Wairan wamekuwa mstari wa mbele kuifanya Iraq iwe ilivyo baada na kabla ya Sadam......kamchezo wanakotaka kucheza Saudia ni ka hatari lakini wacha tusubiri..time will tell...sitegemei tena kusikia Waislam wakilaani US kuvamia nchi nyingine maana Saudia nao wameanza haka kamchezo ka hatari

suppose iran start war with saudia who do u think will win? saudia has the largest and modern army than all other arab countries with state of the art equipment from us! may b us will want that to happen to destroy iran as you know they are just looking for excuses!
 
hii kweli mkuu
 
Hapo sasa kuna uwezekano mkubwa na Iran wakaingilia.
Iran's Majlis (parliament) Speaker Ali Larijani has warned that regional countries will pay the price for their "US-backed" military intervention in the popular revolutions of the region.

Addressing lawmakers in the open session of the Majlis on Tuesday, Larijani cited US Secretary of Defense Robert Gates' recent visit to Bahrain as Washington's green light to the slaughter of Bahraini protesters, saying the visit further exposed double-standard policies of the US and Europe towards developments in the Persian Gulf state.

Larijani's comments came after Saudi Arabia announced that its military deployment in neighboring Bahrain was aimed at quelling escalating anti-government protests at the request of the Bahraini government.

A Saudi official said Monday that more than 1,000 troops, part of the Persian Gulf countries' Peninsula Shield Force, had entered Bahrain.

The top Majlis official said that the deployment of military forces in volatile countries with the aim of suppressing popular revolutions constitutes a real threat to their "glass palaces".

Bahrain's government is continuing its military crackdown against protesters that demand the downfall of decades-old regime of al-Khalifah family.

"It is crystal clear that this aggressive action was carried out with the support of US and in the wake of Gates' trip to the country, and regional nations reserve the right to hold the US accountable for any violence or massacre committed [ in their countries ] to this moment," IRNA quoted Larijani as saying.

The Iranian Majlis speaker further added that the US concern about revolutions in North Africa and Middle East regions fly in the face of their claims and supports for promotion of democracy.

"With the guidance and support of US, some regional countries (mercenaries) obey [Washington's] orders; therefore, these states should prepare themselves for reactions of nations," he further added.

The veteran Iranian politician compared the current massacre of Libyan protesters by embattled ruler Muammar Gaddafi's loyalists to similar intifada in Iraq during which Iraqi dictator Saddam Hussein slaughtered thousands of Iraqis after Washington gave him the green light.

Latest reports from crisis-hit Libya indicate that thousands may have been killed or injured in the North African country as fierce government crackdown on the opposition escalates.

So that a new definition of democracy should be tabled. The western has different standards for different regions according to their interest, social. political and economy status of the country,
They are very soft to Chinese gvt, Saud Arabia and Israel where oppossition protesters have been hammered to dealth.
They played a middle men role in Egpyt and Tunisia.
They have been very hasrsh to Libya and Sudan.
Verbal warning to Gagbo.
What do yo think they will do to TZ in case of Upraising? Big Mining coy have thier shareholders based on USA,Canada and UK.
Expect a Kenyan or The Bahrain Type.
In Kenya USA was the only country to send appriciation to Kibaki why?
In Bahrain they have blessed the Saudi to invade the protester in the Bahrain.

Kazi ipo.
 
Inachokifanya Saudia na UAE huko Bahrain ni kile ambacho USA wamekifanya kwa kuivamia Iraq,Afghanistan,Vietnam n.k..kama Saudia wasipokuwa makini itakula kwao maana Iran hawatavumilia kuona Washia wenzao wakionewa bila sababu ya msingi. Nadhani unajua jinsi gani Wairan wamekuwa mstari wa mbele kuifanya Iraq iwe ilivyo baada na kabla ya Sadam......kamchezo wanakotaka kucheza Saudia ni ka hatari lakini wacha tusubiri..time will tell...sitegemei tena kusikia Waislam wakilaani US kuvamia nchi nyingine maana Saudia nao wameanza haka kamchezo ka hatari

Uvamizi wa Merekani Iraq usingekamilika kama si kwa msaada mkubwa Saudia. Wa mali na ardhi za kuanzishia/kuendeleza mashambulizi ya uvamizi.

Saudi + Israel + USA = 1
 
Uvamizi wa Merekani Iraq usingekamilika kama si kwa msaada mkubwa Saudia. Wa mali na ardhi za kuanzishia/kuendeleza mashambulizi ya uvamizi.

Saudi + Israel + USA = 1
you are right-lakini Sadam alifanya mistake ya kuivamia Kuwait bila kujua ingem-cost kiasi gani
 
suppose iran start war with saudia who do u think will win? saudia has the largest and modern army than all other arab countries with state of the art equipment from us! may b us will want that to happen to destroy iran as you know they are just looking for excuses!
Naona mmekwenda mbali sana kutabiri matatizo ambayo hayapo.
Wachoganishi wakubwa ni Marekani,Uiengereza na Ufaransa.Hao kwa vile sasa hawajiwezi sana, wala hakuna vita hapo kati ya Saudia na Iran.
Iran wana vifaa bora zaidi na ufundi kuliko Saudia lakini hawawezi kujitosa katika vita kirahisi kiasi hicho kwani huko kwake mambo kila siku ni tete.Wasaudia wana takataka nyingi za kivita kutoka Marekani lakini hawana jeshi la maana.Huoni hata hilo jeshi lililopelekwa Bahrain liko kwenye magari ya viyoyozi.Kama si Wamarekani kuwashika mkono wasaudi sheikh wangu Osama bin Laden angelikwisha wafukuza wafalme kutoka mahekalu yao.Sasa iwapo watajitosa kwenye vita visivyo vya lazima na Iran kuhusiana na Bahrain sheikh Osama atasubiri fursa tu Wamarekani warudi nyuma baada ya kuelemewa na mizozo kila kona ya dunia ili waingie ikulu ya Saudia.
Hivyo wafalme inabidi watumie bongo zao vyema katika hili.
 
sikujua kama osama ni shehe-KWELI Iran wapo vizur kijeshi kuliko saudi-ila tofauti iliopo ni kwamba Irani ina vifaa vingi vya za zamani-eg.ina ndege f-14 TOMCAT-ambazo pia walipewa na U.S.A enzi hivyo wakiwa partners-lakini Saudi wana state of art equipments-ambazo zpo vizur zaid ya hizo za Iran-il kwa factor ya quantity-Iran wapo vizuri
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom