Eqlypz
JF-Expert Member
- May 24, 2009
- 4,065
- 632
Waarabu wa Pemba wanajuana kwa vilemba. Iran wataishia kupiga kelele kwenye media hawawezi kupeleka jeshi uko Bahrain.
Saudi Arabia wanatekeleza moja ya makubaliano ya GCC ya kusaidiana militarily pale mwenzako anapohitaji msaada Kama ilivyo allied countries na NATO.