Ndio maana alimkosa mtoto wake kwa uzembe wake wa kujichubua.
Halafu sipati picha hyo harufu, jamani.
Hata Dida nae, ningekuwa mwanaume, mke wa vile sioi.
Kwani Sauda anajipodoa au anajichubua? Yote haya yanatokana na watu kuichukia ngozi yao na kudhani weupe ni uzuri. Sasa wanatisha kama Sauda. Sijui nani alimdanganya wakati alikuwa na ranhi nzuri tu ya maharage.