Saud Arabia ameamua kuingia vita na Iran

Saud Arabia ameamua kuingia vita na Iran

Kipigo anacho pokea Iran safari hii hatokaa kuthubutu kurusha tena machuma chuma yake pale Tel Aviv
 

View: https://youtu.be/aVbfiVTauiM?si=abCE4bBfVPTI561e

Ujumbe ndio huo swali hapa Atafanya kitu gani akingia vita hahaha ikiwa USA na Israel wamemshindwa Iran iwe Saud Arabia.
Walicho kipika USA na Israel ni hicho akingia Saud Arabia na nchi za Gulf states zitaingia halafu USA na Israel wanakimbia wanabaki Warabu kupokea dozi kutoka kwa Iran. Hizo ni plan walizipika USA na Israel siku nyingi.


IRANIAN anawataka sana uwanjani tena sana.

Hii Vita sasa Gulf States Vibalaka ni wakati wa kukimbizwa wote!!!

IRAN anajua nini anafanya na anawajua vema jiran zake kiundani ndani kabsia!!!!!!
 
Iran kwa sasa ipo tepetepe, inachofanya sasa hivi ni kurusha makombora hovyo hovyo bila ya malengo yoyote ya kivita, haina hata central command,wameruhusu kila askari mahali alipo afanye chochote anachoweza.
-Kambi za Marekani ni target za hovyo?
-Balozi za Marekani ni target za hovyo?
-Maeneo ya kimkakati ya kiuchumi ni target za hovyo??

Kijana embu jitafakari kabla ya kuropoka.
 
Natamani sana mpigane huo ukanda wote wa makobaz hadi mabomu yashuke kwenye lile jini lenu la Kaaba.
 
Saudi Arabia jinsi ilivyo uchi kiulinzi itaweza kweli kuingia mzigoni na Iran hata kwa week 1 tu!!

Kwanza ninachoona Houth wakiona Saudia imeingia na wenyewe watakuwa wa kwanza kuyachakaza makazi ya mfalme kabla Iran yenyewe haijaamua kujibu.
Houth naona katulia
 
Back
Top Bottom