Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 10,841
- 14,485
View: https://youtu.be/aVbfiVTauiM?si=abCE4bBfVPTI561e
Ujumbe ndio huo swali hapa Atafanya kitu gani akingia vita hahaha ikiwa USA na Israel wamemshindwa Iran iwe Saud Arabia.
Walicho kipika USA na Israel ni hicho akingia Saud Arabia na nchi za Gulf states zitaingia halafu USA na Israel wanakimbia wanabaki Warabu kupokea dozi kutoka kwa Iran. Hizo ni plan walizipika USA na Israel siku nyingi.