Ni kweli wanazungumzia hilo, ila wanatumia neno possibly found ndio maana wanatumia maneno haya, Satelite images may show plane debris, objects related to flight MH 370, australia sends planes to investigate possible objects, 2 objects seen in southern indian ocean etc Ngoja tuendelee kusubiri wathibitisheMuda siyo mrefu uliopita[ cctv news] imetangaza kuwa ndege ya malaysia imeonekana
na muda huu waziri mkuu wa australia anaongea na wanahabari kuhusiana na habari hiyo
na ni rada ya australia imeiona ndege hiyo
unaweza kufuatilia cctv live
Mmh, nimesahau jografia? Ramani inanichanganya kabisa.
pole sana,kumbuka AUSTRALIA bado ipo ASIA
uwezo wa binadamu ni mdogo sana
Ukilinganisha na uwezo wa nani?
pole sana,kumbuka AUSTRALIA bado ipo ASIA