SATA na IDE ndio nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

SATA na IDE ndio nini?

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Baba Matatizo, May 21, 2011.

 1. B

  Baba Matatizo JF-Expert Member

  #1
  May 21, 2011
  Joined: May 5, 2011
  Messages: 335
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  nauliza jaman.Eti sata na hiyo ide katika mambo ya computer ndio nini?
   
 2. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #2
  May 21, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  There is really no difference between IDE (more correctly called PATA) and SATA hard disks, except in the way they connect to the PC.

  The SATA connector is simpler and the cable is less fussy.

  Gonga HAPA, ili upate maelezo ya kina.
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  May 21, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Standards tofauti za kuunganisha storage devices na compyuta. So e.g unaweza kuwa na Hard-drive ya IDE au ya SATA.
   
 4. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #4
  May 21, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Hakuta tofauti kubwa kati ya IDLE (au kwa jina halisi PATA) na SATA hard drives. Tofati ni jinsi zinavyounganishwa kwneye kompyuta. The SATA connector is simpler and the cable is less fussy.
   
 5. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #5
  May 21, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Mhhh.......
   
 6. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #6
  May 21, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  :doh::A S-confused1: !!??
   
 7. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #7
  May 21, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  utajuaje kama pc yako inatumia ide au sata hdd?ina maana cpu yoyote ile inaweza tumia sata au ide?mimi nlikuwa sijui pia kuhusu hili.jf itapunguza makali ya kuibiwa na mafundi uchwala...
   
 8. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #8
  May 21, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  zote ni njia ya kuleta mawasiliano baina ya hard distk ya computer na mother board au komputa yenyewe tuseme.
  sahihi zaidi ni sata na pata. hiyo pata ndio IDE yaani inteconnected drive electronics ni yale majiwaya manene yaliyomo ndani ya computer. yale husafirisha data katika hali ya parallel yaani kwa sambamba.
  pata= parallel ata
  sata= serial ata.
  ata ndio njia ya mawasiliano ya harddisk na computer.
  sata ina spidi kubwa na ina himili data nyingi kuliko pata (IDE)
   
 9. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #9
  May 21, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  ina maana mashine yoyote inaweza kufungwa hdd ya sata au ide?hakuna chochote cha kuongeza katika cpu?
   
 10. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #10
  May 21, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Miaka inavyokwenda teknolija inakuwa. Hapo mwanzo Hard disk zilitumi teknolojia na specication za IDE. Hivi sasa Har diks nyingi kwenye PC na laptop ni za SATA.

  Tofauti kwa macho ni idadi ya pini ukinodoa za power/umeme kwenye SATA HDD ni chache( Nadhani hazizidi tano) wakati IDE PATA (Parallel) HDD ina pin kibao kama 20 hivi zinzounganisha HDD na MOBO( Motherboard)

  Pia wataalam wanasema Efficiency na perfomance ya SATA( Serial) kwenye Read and Writing to and from HDD ni kubwa kuliko ilivyo kwenye IDE


  Otherwise make googole ,wikipedia, your best frind zitakupa maelezo zaidi kama alivyouwekea link X paster
  eg
  http://en.wikipedia.org/wiki/SATA
  Parallel ATA - Wikipedia, the free encyclopedia
   
 11. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #11
  May 21, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,122
  Likes Received: 617
  Trophy Points: 280
  Inategemea na motherboard inasupport kitu gani, kuna mabazo zinasupport sata, idea or both.
   
 12. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #12
  May 22, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,668
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  Hapana inategemea na motherboard pia. Kuna motherboard zinasupport IDE na zingine zinasupport SATA huwezi tu kutumia kokote kama alivyosema Kang.
   
 13. Paje

  Paje JF-Expert Member

  #13
  May 22, 2011
  Joined: Apr 24, 2010
  Messages: 1,198
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  haina maana hiyo.
  kinachoamua ni ule muundo wa motherboard ya computer yako. hizi za karibuni zote zina sata. baadhi yao zina waya za sata na pata. na nyengine zina pata tu. the best choice kama computer ina option zote ni sata
   
 14. Zasasule

  Zasasule JF-Expert Member

  #14
  May 23, 2011
  Joined: Aug 12, 2009
  Messages: 1,009
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  i dont think so,tofauti itakuwepo must!!!,besid IDe is an old technology,Sata is new technology..Kweli itamiss tofauti hapa?
   
 15. b

  bobleezo Member

  #15
  May 23, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sata is more security than ide,so hata kuformat kwake sata ni vigumu while ide kama kumsukuma mlevi.
   
 16. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #16
  May 23, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  tofauti ingine ukitakakutambua ni kuwa PATA mawaya yakeni yale meupe mapana while SATA ni tule tudogo twekundu,
  nawasilisha
   
 17. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #17
  May 23, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,517
  Likes Received: 2,259
  Trophy Points: 280
  hehe! ukalimani...
   
 18. OSAM

  OSAM Member

  #18
  May 23, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mkuu hajui kweli au unatuzuga?
  Mmmmmmmmmmmmmmh!!?
   
 19. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #19
  May 23, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  SATA inaprovide fast applications launch,writing and reading speed na co rahic kuwa damaged comparing to IDE.
   
 20. t

  tizo1 JF-Expert Member

  #20
  May 23, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 857
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Hdd ya pc ya 300gb au 500gb ni shiling ngap kwa dar?mtaalam aliyenayo anijuze tuelewane.Anayejua wap zinauzwa kwa rahis anijuze pia.NAISHURURU JF IMENIPA MENGI SANA.
   
Loading...