Baba Matatizo
JF-Expert Member
- May 5, 2011
- 334
- 64
nauliza jaman.Eti sata na hiyo ide katika mambo ya computer ndio nini?
There is really no difference between IDE (more correctly called PATA) and SATA hard disks, except in the way they connect to the PC.nauliza jaman.Eti sata na hiyo ide katika mambo ya computer ndio nini?
There is really no difference between IDE (more correctly called PATA) and SATA hard disks, except in the way they connect to the PC.
The SATA connector is simpler and the cable is less fussy.
Gonga HAPA, ili upate maelezo ya kina.
Hakuta tofauti kubwa kati ya IDLE (au kwa jina halisi PATA) na SATA hard drives. Tofati ni jinsi zinavyounganishwa kwneye kompyuta. The SATA connector is simpler and the cable is less fussy.
:doh::A S-confused1: !!??Mhhh.......
hakuta tofauti kubwa kati ya idle (au kwa jina halisi pata) na sata hard drives. Tofati ni jinsi zinavyounganishwa kwneye kompyuta. The sata connector is simpler and the cable is less fussy.
zote ni njia ya kuleta mawasiliano baina ya hard distk ya computer na mother board au komputa yenyewe tuseme.
sahihi zaidi ni sata na pata. hiyo pata ndio IDE yaani inteconnected drive electronics ni yale majiwaya manene yaliyomo ndani ya computer. yale husafirisha data katika hali ya parallel yaani kwa sambamba.
pata= parallel ata
sata= serial ata.
ata ndio njia ya mawasiliano ya harddisk na computer.
sata ina spidi kubwa na ina himili data nyingi kuliko pata (IDE)
Hapana inategemea na motherboard pia. Kuna motherboard zinasupport IDE na zingine zinasupport SATA huwezi tu kutumia kokote kama alivyosema Kang.ina maana mashine yoyote inaweza kufungwa hdd ya sata au ide?hakuna chochote cha kuongeza katika cpu?
Mhhh.......