karibu
Nafurahi kujiunga na Jamiiforums.
Namimi naomba nijiunge na wewe Kwani humu kila mtu ameungana na mwenzake!layball:
Eheee??Beauty who is ur prtner?? into JF:smile-big::becky::becky::becky:
the earlier the beta.
Namimi naomba nijiunge na wewe Kwani humu kila mtu ameungana na mwenzake!layball:
Karibu sana jamvini
Na wewe mgeni?karibu
Si nimewahi??au ndo unanikimbiza?
Umechelewa, kashajiunga nami!Namimi naomba nijiunge na wewe Kwani humu kila mtu ameungana na mwenzake!layball:
Umechelewa, kashajiunga nami!
Mbona una posti 8746 halafu unasema umejiunga kama mimi?
Da Sophy yuko martenity leave.....INFIDELITY si inaruhusiwa?Asprinnnnn mbona mgonvi??wewe siumejiunga na Da Sophy??
Kwani kuwa na posti nyingi ndo siwezi kujiung na wewe?Mbona una posti 8746 halafu unasema umejiunga kama mimi?
Hahahahaha! dah! mkuu naona umeweka kambi hapa. Ngoja nikatest zari kwingine.Asprin umestukiwa wewe jiunge na mimi ajapata mwenza alidhani ujajiunga na mimi!:becky:
Da Sophy yuko martenity leave.....INFIDELITY si inaruhusiwa?
nafurahi kujiunga na jamiiforums.