Sasatel wanaibia wateja!!!

No admission

JF-Expert Member
Nov 26, 2011
215
68
Wana JF leo nimeamua kuwaanika SASATEL wanavyo niibia. Mimi natumia modem ya SASATEL na nanunua kifurushi cha mwezi. Linalonishangaza kila nikinunua wananikatia huduma siku moja kabla ya tarehe niliyojiunga. Yaani nilijiunga na SASATEL tar 26 March 2011 kwahiyo hata kama nitacharge modem yangu tar 2 ya mwezi watanikatia huduma tar 25 ya mwezi huo huo badala ya tar 1 mwezi ujao. Nimeshalalamika lakini hawajanisikia. Naomba munishauri nifanyeje je nihame lakini na hawa SASATEL wataendele kutuibia mpaka lini???
 
Pole ingekua line ningekwambia tupa uhamie huku lkn ndo modem kuitupa uchungu cha kukushauri nenda k/koo waiflash burn wakuingizie line nyingine
 
Mitandao ya TZ siku zote ni wezi kila mmoja anafanya kwa style yake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom