Jamani SASATEL WANANIIBIA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani SASATEL WANANIIBIA

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by No admission, Dec 27, 2011.

 1. No admission

  No admission JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana JF leo nimeamua kuwaanika SASATEL wanavyo niibia. Mimi natumia modem ya SASATEL na nanunua kifurushi cha mwezi. Linalonishangaza kila nikinunua wananikatia huduma siku moja kabla ya tarehe niliyojiunga. Yaani nilijiunga na SASATEL tar 26 March 2011 kwahiyo hata kama nitacharge modem yangu tar 2 ya mwezi watanikatia huduma tar 25 ya mwezi huo huo badala ya tar 1 mwezi ujao. Nimeshalalamika lakini hawajanisikia. Naomba munishauri nifanyeje je nihame lakini na hawa SASATEL wataendele kutuibia mpaka lini???
   
 2. No admission

  No admission JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi inafaa kuflash modem yao niweke ya mtandao mwingine niepuke hasara ya kununua mpya??
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  mkuu si uhamie Airtel....hata gharama zao si kubwa na isitoshe huwa samtaims wanakupa kasiku kamoja zaidi cha kumalizia salio lako......
   
 4. No admission

  No admission JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nafikiri kuhamia mtandao mwingine sema sijajua speed ya hiyo motandao kwa gharama ile ile 30,000 kwa mwezi
   
 5. payuka

  payuka JF-Expert Member

  #5
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 832
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mi nawakubali sasatel, nilishajaribu airtel, vodacom na TiGo nikahama.
   
Loading...