Sasatel hawako hewani, vipi?

Sasatel hawako hewani, vipi?

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Posts
5,404
Reaction score
242
Sasatel hawako hewani, vipi?


Tangu jana jioni - both internet na simu. kulikoni? Ndoyo maana wachangiaji wengi leo hawamo humu.
 
Nimesikia watu wanasema kuwa imefulia sijui kama ni kweli mimi si mteja wao.
 
Tatizo ni kwamba hawa jamaa hawaku soma soko linahitaji kitu gani, kwa tech ya CDMA ambayo imewashinda hata TTCL sitegemeei kama watafika mbali kama hawajafungasha virago vyao
 
Back
Top Bottom