Sasahivi neno "Permanent and Penshenable Employment" ajira za serikali, ni kaa la moto

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,581
Habarini.

Toka enzi na enzi, kumekuwapo na security kubwa sana kwenye kazi za serikali. Ukishaajiliwa, una uhakika wa kufa nayo au wewe mwenyewe uamue tu kuachana nayo.

Ilikuwa ukiomba kazi private, unasikia mtu anakwambia 'huko hakuna security', nenda serikalini wewe'.

Sasa hivi n bora ya private tu kuliko taasisi za umma. Sisi ambao tupo private, tuna amani sana.

Pia tukumbuke, ajira ya serikali siyo baba yako, siyo mama yako. Kuna fursa nyingi nje na box. Tupambane tu
 
Ajira ya serikali ilikuwa permanent and pensionable kwa sababu ndo lilikuwa chaka la maovu. Ufisadi, uzembe, utoro, lack of accountability et al. Ndo maana baada ya sakata la vyeti fake na watumishi hewa..public service will never be the same again!
 
Hao vyeti feki watoke wote,watu wenye sifa zao wachukue hatamu
 
Back
Top Bottom