Sasahivi kitimoto hata uende sa9 usiku unaikuta

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
6,447
Reaction score
11,505
Wakati kabla ya mambo ya kushinda na njaa hayajaanza ilikua ukienda hata sa12 tuu huikuti.

Je, wakina nani hua wanakula sana Nguruwe hadi kwasasa iwe inabaki nyingi? Nini kimetokea?

Karibu katika mjadala.
Mapovu pia napokea nitafulia kanzu yangu.
 
Kwanza ukumbuke wanaofunga ndani ya huuwezi sio Muslim tuu,
Pili moja ya sheria ya funga ya Kwerisma ni kuacha jambo unalopenda sana ambalo ni dhambi na halipendezi, tunajuaje ikiwa waliofunga Kwerisma ndio wamesababisha hilo??
 
SHEKH MAZINGE HUYO ALIKIMBIA HADI NA MZANI WA NGURUWE
 
Kwanza ukumbuke wanaofunga ndani ya huuwezi sio Muslim tuu,
Pili moja ya sheria ya funga ya Kwerisma ni kuacha jambo unalopenda sana ambalo ni dhambi na halipendezi, tunajuaje ikiwa waliofunga Kwerisma ndio wamesababisha hilo??
HAta kama mifungo miwili hii isingegongana , ikifikaga kipindi hiki focus karibu kila mtu huwa kwenye futari na uji wapilipili
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom