Sasababu saba zinazowafanya wanaume wachelewe kuoa

Nahisi namba nne na namba sita ni sababu hasa zinazopelekea mwanaume kuchelewa kuoa.
 

  1. kupenda kuoa mwanamke mrembo kuliko wote ambaye hayupo
  2. ukosefu wa fedha unaoweza kusababishwa na ukosefu wa ajira ya uhakika
  3. kujiringanisha na wanaume wengine ambao wana mafanikio ya juu sana na baadae mwanaume huyo kuona hajafikia bado mafanikio anayoyataka ili aweze kuoa.
  4. ukosefu mkubwa sana wa nguvu za kiume yaani uhanithi
  5. ubinafsi wa baadhi ya wanaume ambao huona kuoa ni sawa na kupoteza fedha tu. Kwa kuwa yeye mwanaume akioa itabidi amhudumie mke.
  6. kutokujiamini kwa baadhi ya wanaume ambao huona kuoa ni jambo gumu sana na kwao wao halitawezekana.
  7. baadhi ya wanaume huogopa wanawake sana kiasi cha kuogopa kuwatongoza ambako husababishwa na kuogopa kukataliwa !!!

RED..May b hapo... unatembea ktk mstari...!! lakini nahisi kasi ya kuporomoka kwa maadili ya jamii tuliyomo inaweza kuwa ni sababau ingine inayowafanya ma-bachela kusita kuoa...!!mapenzi yanageuka kama ushindani kati ya mke na mume...!
 
wanachoka kufua ,kupika na kuosha vyombo

FL1 umenichekesha kweli, mabinti weneywe wa sikuhizi hapa kusoga ugali hawawezi achilia mbali kuosha vyombo :bowl:
mi nadhani ukipata anayekufaa na mtulivyo inasaidia kuharakisha mambo
 
RED..May b hapo... unatembea ktk mstari...!! lakini nahisi kasi ya kuporomoka kwa maadili ya jamii tuliyomo inaweza kuwa ni sababau ingine inayowafanya ma-bachela kusita kuoa...!!mapenzi yanageuka kama ushindani kati ya mke na mume...!

point kali
 
  1. kupenda kuoa mwanamke mrembo kuliko wote ambaye hayupo


  1. [*]ukosefu wa fedha unaoweza kusababishwa na ukosefu wa ajira ya uhakika


    [*]kujiringanisha na wanaume wengine ambao wana mafanikio ya juu sana na baadae mwanaume huyo kuona hajafikia bado mafanikio anayoyataka ili aweze kuoa.


    [*]ukosefu mkubwa sana wa nguvu za kiume yaani uhanithi


    [*]ubinafsi wa baadhi ya wanaume ambao huona kuoa ni sawa na kupoteza fedha tu. Kwa kuwa yeye mwanaume akioa itabidi amhudumie mke.


    [*]kutokujiamini kwa baadhi ya wanaume ambao huona kuoa ni jambo gumu sana na kwao wao halitawezekana.


    [*]baadhi ya wanaume huogopa wanawake sana kiasi cha kuogopa kuwatongoza ambako husababishwa na kuogopa kukataliwa !!!
nadhani pia hutakiwi kusahau kuwa kuna baadhi ya wanaume ambao wanachelewa kuoa kwa sababu ya kutendwa na hivyo kumfanya aamini ya kuwa hakuna mapenzi ya kweli duniani,na kuwaona wanawake wote wako kama aliyemtenda hivyo kuogopa!
 
To me i belive god know when i will get married. So i let it to him to deliver my wife and hope to be good mother to the fruits to the lord...

Belive, worship and pray for that and i promise you he will deliver ur wife..
 
Back
Top Bottom