nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,398
Jamani huyu Laura Pettie namjua vizuri sana. Facebook anatumia hilo hilo jina na ana blog yake ina hilo jina. She just wrote this for funny mara nyingi tu anaandikaga vichekesho. Sidhani kama kuna watu wamemchukulia serious kivile. Hakuna kundi kama hilo dada huyu alichangamsha baraza ndio ghafla meseji ikapendwa ikasambazwa
Haya makundi yapo wewe...mimi mwaka jana nimesikia live Clouds kipindi cha Dinna...Gea Habib alikuwa anarusha msuto mmoja maeneo ya mabibo...vipo sana hivi vikundi...
Kuna mmoja nakumbuka nilisikiza kipindi cha kina Gea (kama nakumbuka uzuri) alenda kusutwa...na kwa kuwa wanatoa taharifa in advance; basi bibie alienda salon kaupara kakaa barazani anawasubiria wasutaji...uswahilini kuna raha sana...
Kisa cha msuto chenyewe kilikuwa funny ingawa sikumbuki vizuri...ila si mabwana....ni kama vile alirudishiwa zawadi alizopeleka za mtoto wa shogake (baby shower) kwa kuwa alisambaza maneno kuhusu hizo zawadi...lol
Walikuja na zawadi zote alizomtunza shogake kumrudishia...alivyo chizi kaanza kukagua, na kusema kuna zingine zimepelea wamletee na zenyewe...akkanza kutaja...kale kagauni ka pinki kako wapi?
nakuambia kwanza unashtukizwa we hujui hili wala lile saa ngap utajiandaa kuvunja miguu? na raia watakavyokua wengi utafurukuta kwa nani hahaha
Kuna mmoja nakumbuka nilisikiza kipindi cha kina Gea (kama nakumbuka uzuri) alenda kusutwa...na kwa kuwa wanatoa taharifa in advance; basi bibie alienda salon kaupara kakaa barazani anawasubiria wasutaji...uswahilini kuna raha sana...
Kisa cha msuto chenyewe kilikuwa funny ingawa sikumbuki vizuri...ila si mabwana....ni kama vile alirudishiwa zawadi alizopeleka za mtoto wa shogake (baby shower) kwa kuwa alisambaza maneno kuhusu hizo zawadi...lol
Walikuja na zawadi zote alizomtunza shogake kumrudishia...alivyo chizi kaanza kukagua, na kusema kuna zingine zimepelea wamletee na zenyewe...akkanza kutaja...kale kagauni ka pinki kako wapi?
Duh!! hongera zao wametumia fursa vizuri...

Hata mimi nashangaa kama wewe, eti ndo ubunifu wa kujiajiri.Mmhh kazi ipo... Misuto, wazaramo nini sababu nasikia wanasuta hadi unazimia