Sasa wezi wa mabwana kukiona

Sasa wezi wa mabwana kukiona

nyie njooni tu na hayo majiko yenu ya mkaa na masahairi sijui keki etc, mtakutana na ki-bastola changu kwa mlango ndo mtapojua kumbe hayo ma-dera siyo bullett proof!
 
Anasutwa mbea...mwizi wa bwana anasutwa...???
Hata tangazo halijasema linashughulikia wezi wa mabwana...
Wezi wa mabwana zao tindikali...
 
nyie njooni tu na hayo majiko yenu ya mkaa na masahairi sijui keki etc, mtakutana na ki-bastola changu kwa mlango ndo mtapojua kumbe hayo ma-dera siyo bullett proof!

Hahahahahaha uwiii eti ndo watajua kuwa madera siyo bullet proof. Sipati picha kila mtu atakavyotoka nduki na njia yake uuuuh
 
niliwahi kiwasikia kwenye redio moja hv kipindi cha hekaheka
 
Anasutwa mbea...mwizi wa bwana anasutwa...???
Hata tangazo halijasema linashughulikia wezi wa mabwana...
Wezi wa mabwana zao tindikali...

we rudia kusoma tu.utaelewa wez wa mabwana adhabu yeyote inawafaa bila kuchaguaaa
 
niliwahi kiwasikia kwenye redio moja hv kipindi cha hekaheka

kumbe kweli basi..wamikoan wahamasike nao wajiunde kwenye vikund labda na mikopo watapata lol
 
Hahahahahaha uwiii eti ndo watajua kuwa madera siyo bullet proof. Sipati picha kila mtu atakavyotoka nduki na njia yake uuuuh

hahaha na maspika yao sijui watamwachia nani
 
nyie njooni tu na hayo majiko yenu ya mkaa na masahairi sijui keki etc, mtakutana na ki-bastola changu kwa mlango ndo mtapojua kumbe hayo ma-dera siyo bullett proof!

hahaha si bure labda na wao wanajipanga maana kusuta si shughuli ndogo
 
hata akisutwa akamuaacha bwana ako haimaanishi upendo wa kweli utatawala BALI MAIGIZO NDO YATAZIDI ENDAPO UTARIPOTIWA KWAMBA UMEMTUMIA MSUTO

swala pekee ukijua unaibiwa ni kujishusha na kuangalia wapi umeanguka,,ukimtunishia mwanaume msuli utalia kila siku

Wakati mwingine punda haendi bila kiboko.....!!
 
Loooh na biashara itaishia siku hiyo2. Sidhani kama watakuwa na hamu ya kuendeleza misuto tena

nakuambia hawakomiii kwani wakitibuliwa mtaa huu kesho wapo ule nahis na bangi wanavutaga kidogo na mikonyag ya kutosha si bure.ujasir wanautoa wap
 
Ni kukosa kazi hiyo pesa bora usaidie maskinii !!!!
 
Sasa bwana au mume akichukuliwa unaenda kumsuta mwanamke Mwenzio au mume alokushiba? Nahisi huu msuto Kama kujishushia Hadhi....
 
kuna ndugu amenipm ananambia arusha kuna kashkash group nasikia wakitaka kukusuta wanapita na gar ya.matangazo mtaani kwa msutwaji wakiwaambia wananchi ..tunawaomba kesho mkusanyike nyumban kwa bi....kuna bonge la suprise kama ujuavyo uswaz kwa mkusanyiko bas watajaa wee hatimaye wanaingia kashkash na kuanza shughuli yao..uwii kweli ni hataree
 
Back
Top Bottom