Sasa wezi wa mabwana kukiona

Sasa wezi wa mabwana kukiona

chezea sasa itabid walipe na kodi

Kwa kweli walipe kodi hahaha, kibali cha biashara wanacho lakini? Insurance je? Maake kuna wachambwaji watata. Mtamkuta na maji ya moto kama sio tindikali hahahaa
 
Dunia ina mengi, wazungu wavumbua technologies waswahili misuto haya kazaneni mvumbue pia ant-misutoring.

ishu sio technologies inovation ishu ni ajira hakuna
 
Kwa kweli walipe kodi hahaha, kibali cha biashara wanacho lakini? Insurance je? Maake kuna wachambwaji watata. Mtamkuta na maji ya moto kama sio tindikali hahahaa

yaani wiki tu wakiwa na.kazi kila siku ji mamilionea hakuna cha mashine ya risit wala nini wanakula kiulainii
 
yaani wiki tu wakiwa na.kazi kila siku ji mamilionea hakuna cha mashine ya risit wala nini wanakula kiulainii

Kwa kweli ubunifu at work. Naomba tu wasikutane na boko haram coz kuna mtu mtamfata mumchambe but atawachamba nyie wote
 
hata akisutwa akamuaacha bwana ako haimaanishi upendo wa kweli utatawala BALI MAIGIZO NDO YATAZIDI ENDAPO UTARIPOTIWA KWAMBA UMEMTUMIA MSUTO

swala pekee ukijua unaibiwa ni kujishusha na kuangalia wapi umeanguka,,ukimtunishia mwanaume msuli utalia kila siku
 
bado vijana wanajibweteka hamna ajira looh fursa hiyo wameitumia lol

Umeona eeeh! Nakwambia hutaamini watapiga kazi vibaya mno watu wanakodi Mc hadi 2m sembuse kitu kilichomuuma kinachomkera ataacha kufanya? Watu wanapenda show off bana! tena uswazi hayo mambo yapo sana,washushe bei tu mbona watakuwa matajiri!!!mi nawapongeza kwa kweli,mtaji wa maskini ni nguvu zake mwenyewe,
 
kabisa ndugu hapo bei nakuambia kwa mtu mwenye lake linalomkera na show ofd za uswaz atakopa hata upatu yote atakodishia msutoring
 
hata akisutwa akamuaacha bwana ako haimaanishi upendo wa kweli utatawala BALI MAIGIZO NDO YATAZIDI ENDAPO UTARIPOTIWA KWAMBA UMEMTUMIA MSUTO

swala pekee ukijua unaibiwa ni kujishusha na kuangalia wapi umeanguka,,ukimtunishia mwanaume msuli utalia kila siku

unadhan mwanaume hapa anahusika basi ni yule mwizi tuu
 
nitawakodi waje wanisutie mama mwenye nyumba yangu kila siku nikienda kuoga ananikodolea mimacho tu!!!!
 
huu ujasiliamali mwingine too much sasa. Ndo kujiajiri huku?

hawa na.mbwa nwitu yupi bora? kwani wanaiba cha.mtu? je wanavunja sheria za.nchi kwa kias gani? mi naona ni halali yao tu
 
Daaaamn!!!!!!!!!!
Ukisikia njaa inampa mtu maarifa ndo hivi sasa.
Hapo watu wana biznes tayari.
😀😀😀
 
u made my day
nimependa huo msuto wanaovaa suti tehe tehe tehe tehe tehe tehe
msuto tu ni sawa kapigwa ngumi ngapi?uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii mbavu zangu

60 hahahha noma sanaaa
 
  • Thanks
Reactions: lin
Back
Top Bottom