ameline
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 2,292
- 1,152
- Thread starter
- #61
Sasa bwana au mume akichukuliwa unaenda kumsuta mwanamke Mwenzio au mume alokushiba? Nahisi huu msuto Kama kujishushia Hadhi....
sivyo tu mrskhoory; unakuta alieibiwa bwana kachoka ama bwana kahama kabisaa kahamia hukoo kwa msutwaji sasa ili kijipoza roho bora amdhalilishe msutwaji ili angalao tu apumue.mwingine unakuta hata kapewa talaka lakin basi tu for good for worse