Sasa bwana au mume akichukuliwa unaenda kumsuta mwanamke Mwenzio au mume alokushiba? Nahisi huu msuto Kama kujishushia Hadhi....
sana tu.hebu jaribu kuwa mmbea uone kitakachokupata
sivyo tu mrskhoory; unakuta alieibiwa bwana kachoka ama bwana kahama kabisaa kahamia hukoo kwa msutwaji sasa ili kijipoza roho bora amdhalilishe msutwaji ili angalao tu apumue.mwingine unakuta hata kapewa talaka lakin basi tu for good for worse
hahhaha asee... labda mkaombe ulinzi kwanza, maana ntavunja miguu wote!!! unapigiwa matarumbeta bado umetoa macho tu
Nimeshindwa kumaliza kusoma ,itanipotezea tu muda na vitu vya hivi vinanikataga stimu.
Yani hapo ndio Kama mbwai mbwai.. Aka Kama noma naiwe nomaaa... Ndio wasutajii wamekwenda na Tarumbeta wanakuta harusi ya shangwe wanaendelea na kusutana au wanarudi kila mmoja na njia Yake?..