Sasa wale wafia dini hebu tuelezeni huwa mnawapapatikia hawa watu Kwa sababu zipi?

Shida ni hii hapa.

Hatujui context ya hiko kinachogawiwa.

Hatujui alitamka nini wakati anawaputa mikono.

Tunaona mtu mweusi kanyimwa kitu na mwarabu.

Tukiruka tu na kuhitimisha mweupe kamnyima mweusi bila kujua context sisi pia tutakua racists kama wao.
 
Hebu angalia hii video clip fupi Sana wala haikumalizii bundle lako, haifiki hata mb1, kama ulikuwa unajiona na wewe ni Mwarabu basi elewa wewe ni takataka tu Kwa Waarabu.

Jitafakari.

Cc: FaizaFoxy MK254 THE BIG SHOW
hii video yako haina maelezo wala haioneshi mwisho, pengine keshapewa karudi tena , pengine hakufuata utaratibu, unataka kutumainisha waarabu hawatupendi kwa propaganda za kijinga, huko kijijini kwenu anechimba kisima si muarabu au hujui
 
Shida ni hii hapa.

Hatujui context ya hiko kinachogawiwa.

Hatujui alitamka nini wakati anawaputa mikono.

Tunaona mtu mweusi kanyimwa kitu na mwarabu.

Tukiruka tu na kuhitimisha mweupe kamnyima mweusi bila kujua context sisi pia tutakua racists kama wao.
Hao makafiri kazi yao kueneza chuki tu, video haina maelezo wala haina mwisho ,
 
hii video yako haina maelezo wala haioneshi mwisho, pengine keshapewa karudi tena , pengine hakufuata utaratibu, unataka kutumainisha waarabu hawatupendi kwa propaganda za kijinga, huko kijijini kwenu anechimba kisima si muarabu au hujui
Mwoneni huyu, ndio wale tunaowasema, akiona Mwarabu akili yote inamruka.

Yani ameona video hadi body language lakini bado anatetea ujinga.
 
Tusitie tie huruma tutafute pesa
Mimi nikiwa na hamu na Michele huwa nakwenda Kwa Wasomali nagonga biryani yangu au Mandi fresh kabisa.

Nikiwa na hamu ya mbuzi choma huwa nakwenda mnadani kabisa nakula mbuzi choma mpaka basi.

Nikiwa na hamu ya kiti Moto nakwenda bush baby.

Nikiwa na hamu na ugali wa muogo Kwa ng'ombe choma na kichuri nakwenda Kwa Chota banana.

Kwahiyo huwezi kunipata au kudhalilishwa sehemu ya vyakula vya bure.
 
Hizo ni roho tu za kibinadamu ni kama mzungu anavyombagua vinicius Junior.
Dini ililetwa kwa wote thats why kuna wachina wanaijua dini na wanapractice kuliko waarabu na Allah amesema
"Hakika nimewaumbeni mataifa na makabila mbalimbali ili tu mjuane, Ila aliye bora na aliye karibu na Allah ni mtu mchamungu...... "
Angalia matendo ya binadamu wote duniani yanafanana, waislamu wa kweli tabia zao zinafanana, waislamu wa mchongo pia wanafanana na hata wanaopinga uislamu wanafanana kwa hoja na chuki zao.
Nakuusia ingia kwenye dini ya haki dokta Matola
Yaani ukiona dini unayoifata haimini katika Yesu Kristo basi unapoteza muda wako bure
 
Mafundisho yao muslims wao wanafundishwa na kuraan..hata kuuwa na kujitoa muhanga ni kuraan tulkufu inafundisha we utabisha tu mana hujui dini vizuri umeletewa juzi tena kwa kitabu usicho kielewa hata lugha ko tulia.
Kuongelea kitu usichokijua ni kosa kubwa kwangu na kwa muislam yeyote anayeijua dini hayo ndo mafundisho nakupa, na kwangu njoo na kitu unachokijua ktk dini niko vzr sihitaji porojo na nadharia za uongo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom