Sasa wakuu, si nimpige chini tu?

Sasa wakuu, si nimpige chini tu?

Ha ha ha leta ushauri mkuu; ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi
ana magonjwa/changamoto ya kike, atakua anashida ktk via vya uzaz, uke, uvimbe, n.k... Hawez kukuambia ila mchunguze atakuambia indirect...
Halafu unataka kufa kwa presha bure, hii dunia sio yakubak na mpenz mmoja wakat nje kuna viumbe vizuri na vitamu...
 
Mkuu matangazo yako ni kama vile vi-speaker vya kariakoo, non stop bidhaa yenyewe ni dawa ya mende, kunguni na viroboto
 
ana magonjwa/changamoto ya kike, atakua anashida ktk via vya uzaz, uke, uvimbe, n.k... Hawez kukuambia ila mchunguze atakuambia indirect...
Halafu unataka kufa kwa presha bure, hii dunia sio yakubak na mpenz mmoja wakat nje kuna viumbe vizuri na vitamu...
Nimekupata vizuri mkuu
 
Back
Top Bottom