beatboi
JF-Expert Member
- Mar 29, 2021
- 685
- 1,599
sasa umet*mba mara moja amepata na ugonjwa wa tumbo, mara ya pili atakufiaAnaweza kuja kuzima, kifuani ikawa shida.
sasa umet*mba mara moja amepata na ugonjwa wa tumbo, mara ya pili atakufiaAnaweza kuja kuzima, kifuani ikawa shida.
Homoni zitakuwa haziko sawa; kwa mtu anayekula vizuri, hana msongo wa mawazo, ni vigumu kuwa hivyoMim nisingempga chini kwa sbb mim pia kweny mambo ya mapenzi hata nisipofanya mwezi nakua oky....
Unapata kesi ya kuua😀😀😀sasa umet*mba mara moja amepata na ugonjwa wa tumbo, mara ya pili atakufia
Hahahahah kwa uzoefu wangu wanaotoaga hii kauli huwa si mchezo. Kuna kamoja nilifungasha virago maana kalikuwa kanafagilia mchanyato yani kila mkikutana tu kamelowesha kufuli😂😂😂Mim nisingempga chini kwa sbb mim pia kweny mambo ya mapenzi hata nisipofanya mwezi nakua oky....
nilikuw nae kama huyo wako kwa mwezi namt*mba mara moja na baada ya hapo lawama kibao sijui nimemsogeza kizaziUnapata kesi ya kuua😀😀😀
ha ha ha atakuwa mzoefuHahahahah kwa uzoefu wangu wanaotoaga hii kauli huwa si mchezo. Kuna kamoja nilifungasha virago maana kalikuwa kanafagilia mchanyato yani kila mkikutana tu kamelowesha kufuli😂😂😂
Itabidi nifanye hivyoWashirikishe ndugu zake
Ukachukua maamuzi gani mkuu?nilikuw nae kama huyo wako kwa mwezi namt*mba mara moja na baada ya hapo lawama kibao sijui nimemsogeza kizazi
Nimpige chini tu, kwa sababu hakuna faida yoyote zaidi ya kuwa na gharamaKwani wewe mwenyewe unaonaje?
Hebu funguka zaidi mkuuKwa mdomo kuwa nae mmoja Kwa matendo kuwa nao idadi utakayo.Easy
Ha ha ha leta ushauri mkuu; ukubwa wa pua sio wingi wa makamasiWee jamaa hata kama una umri mkubwa ila bado una akili ndogo sana, as if upo Form 2 C
Hebu funguka zaidi mkuu
Hakuna tangazo mkuu, ndio uhalisia.Hili tangazo limekuja kiana ili lisilipiwe
Sawa, nitauliza kwa walio elewa zaidiUmeelewa usinisumbue😏
CASE CLOSED!! Jibu tosha fungeni madaBraza kunguru habenepi kwa jalala moja