Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,154
- 55,648
Katika pita pita zangu mitaani, nilikutana na mdada mwenye uzuri wake; ni mtu mzima mwenye miaka 38, na ana mtoto mmoja.
Kama mjuavyo tena wakuu, macho hayana pazia, na moyo ukatokea kumpenda kwa ghafla. Basi nikajipa ujasiri; nikamsimamisha na kumuambia lengo langu, na baadaye tukabadilishana mawasiliano. Baada ya kama siku tatu hivi, nikampigia simu ili nimtoe 'out'; kweli alikubali, nikamtoa nje ya mji kidogo.
Huko tukabadilishana mawazo, na tuliweza kulala mpaka kesho yake asubuhi. Shoo ilikuwa kali sana, ilikuwa kama kukomoana; baada ya zoezi akawa analalamika maumivu ya tumbo n.k. Kesho yake tuliporudi, ilibidi amuone daktari, na akawa amepewa dawa za kutuliza maumivu.
Baada ya hapo, akaniwekea 'limit' kama kukutana kimapenzi iwe mara moja kwa wiki, na iwe goli moja tu. Changamoto iliyopo kwa sasa, hataki niwe na mahusiano na mwanamke mwingine. Na mimi kwangu inakuwa ni ngumu, kupewa mara moja kwa wiki goli moja.
Sasa wakuu, si nimpige chini tu?