Sasa wakazi wa Mbeya wanaoda chakula Online

herman3

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
595
Reaction score
790
Hii ni habari njema kwa wakazi wa Mbeya walipo Kabwe, Mwanjelwa na Soweto na maeneo jirani ambapo sasa wanaweza kuweka oda ya chakula na Fresh juice Online kwa kutumia Application ya Chakula Kitamu iliyopo Google Play Store na watafikishiwa chakula mahali walipo... kwa sasa njia ya malipo iliyopo ni pay on delivery, pia hivi karibuni itaongwezwa M-Pesa, Tigo pesa, VISA na MasterCard. kama wewe ni mkazi wa Mbeya uliyepo maeneo hayo unaweza idownload hapa https://play.google.com/store/apps/details?id=com.coffye.chakulakitamu
NOTE: Mbeya inatumika kama pilot area japo tunatarajia kufungua huduma hii Dar
 
Safi sana mkuu,
Umejitahidi kwa ubunifu,jitahidi utuletee na dar
 
Hii ni habari njema kwa wakazi wa Mbeya walipo Kabwe, Mwanjelwa na Soweto na maeneo jirani ambapo sasa wanaweza kuweka oda ya chakula na Fresh juice Online kwa kutumia Application ya Chakula Kitamu iliyopo Google Play Store na watafikishiwa chakula mahali walipo... kwa sasa njia ya malipo iliyopo ni pay on delivery, pia hivi karibuni itaongwezwa M-Pesa, Tigo pesa, VISA na MasterCard. kama wewe ni mkazi wa Mbeya uliyepo maeneo hayo unaweza idownload hapa https://play.google.com/store/apps/details?id=com.coffye.chakulakitamu
NOTE: Mbeya inatumika kama pilot area japo tunatarajia kufungua huduma hii Dar
Hongera. Hua nafurahi sana kuona wabongo tunakua wabunifu hivi
Nakushauri tumia na insta bila kusahau facebook
Pia pitia maofisini
 
Ahsante, pia nimetarget soko kubwa kuwa kwa watu wa maofsini
 
Back
Top Bottom