Wanyakyusa
Ahsante sanaCongratulations aisee!!!
Kwanza nipo kwenye same project Kama wewe, pamoja nakuchukua medicine; programming is my hobby. Good work. Mwenyewe yangu ipo jikoni. Maybe nitakupa competition yakuongeza ubora wa huduma yako nakurahisisha maisha ya watanzania.
-callmeGhost