Hatutashika panga,shoka wala bunduki lakini wakija kwa karate na mchakamchaka lazima wakae,hah hah hah naona chadema imeamua kutumia nguvu kazi inayotoka JKT vizuri!!!!
...Kwa wanafiki kama wewe wasaliti wa nchi kwa pesa ndogo sana ni gazeti la udaku lakini kwa wenye mapenzi ya kweli na nchi yetu tunajua Tanzania Daima si gazeti la udaku. Nenda kasome Uhuru na Mzalendo magazeti ya CCM yanayoandika unafiki kila kukicha.
zemaproko, kati ya gazeti la Tanzania Daima na Uhuru, lipi ni gazeti la Udaku? Gazeti linaloongelea habari ya CCM tu? Afadhari Tanzania Daima , gazeti linalopendwa na watanzania. Gazeti la uhuru hata wewe hununui? Kwa nini?
habari zao zinadoda. Si nilisikia walikuwa wanatunishiana misuli walipotaka kufukuzana? Kweli magamba ni genge, hakuna wa kumnyooshea kidole mwenzake. Nidhamu 0.