mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 81,800
- 108,031
Unakaa na fisi geto kwako ili iweje?Huyo mnyama Nampa jina akiwa mbugani au gheto kwangu?
daah mkuu umewaza mbaliUnatoa 5mil kwa swala alafu analiwa na Simba kesho yake aiseee
Hili suala binafsi sijalielewa limekaa vipidaah mkuu umewaza mbali
Hapo Ni kipengere labda wangesema ukilipa hicho kiasi Cha M 5 unakuwa unapewa gawio kila mwaka na idara huska Kama hisaHili suala binafsi sijalielewa limekaa vipi
Yaani ulipe pesa alafu urudi nyumbani sasa itakuwa ndio nini
Btw kuna yule faru mtoto wa malkia alimpa jina lake nasikia wahuni walilamba kichwa sijui ni kweli
HajahshqhsUnatoa 5mil kwa swala alafu analiwa na Simba kesho yake aiseee
Marketing and Branding, mbona mashule au taasisi yanapewa majina ya MaRais au watu mashuhuri wa eneo husika. Ukilitumia kiuchumi linakubeba mfano mtu akisikia Emirates Stadium wa Arsenal tayari ni branding ya Fly Emirates.Kwanini wasituuzie tule nyama?tuanze ujinga wa kuwapa majina ili iweje?
Kwani wewe bado haujaanza kulipia jina lako?Mwisho wa siku utasikia hata majina yetu tuyatumiayo tunatakiwa tuyalipie
Shika adabu yako kijana, jf haina maskini hii.Kwamba na wewe hauna hela au?😀😀