Sasa unatakiwa Namba ya simu Kutumia Gmail | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sasa unatakiwa Namba ya simu Kutumia Gmail

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Yona F. Maro, Oct 16, 2009.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Oct 16, 2009
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kwa wale watumiaji wa huduma za google haswa hii huduma ya anuani ya barua pepe yaani gmail watakuwa wameona kitu kipya ambacho kimeanza toka mwezi wa 7 mwaka huu ambapo unatakiwa kudhibitisha anuani ya barua pepe yako kwa kuandika namba zako za simu za kiganja angalia

  ANGALIA ATTACHMENT
   

  Attached Files:

Loading...