`Sasa Unaingia Mkoa wa Mara Be Strong`

Basi wakitoa hicho kibao wakataze na vyombo vya habari kurusha habari za mara haha
 
Jf raha sana karibuni sana hapa watu wa kanda maalum Excel charming lady Mwita Maranya Muraa ocampo four and the likes. kwaheri mkoa wa Mwanza sasa unaingia mkoa Mara. aha aha aha aha.

Wafute waone tutakavyo waghecha.... Ni kama kuzuia tohara kwa wanawake, watatahiri hata usiku wa manane....

Mbrrrrraaaakkkkeeeee!!!!

Wakikitoa tunaanzisha kanchi ketu... Kama enzi zileee "Jamhuri ya watu w chui"
 
Last edited by a moderator:

Kwa wageni wanaotumia usafiri wa basi tickets zao hazisemi 'From ... To Mara'? Au hata wale wa usafiri binafsi wanapopanga na kuanza safari hawajui kama wanaenda Mara au watapita Mara?!
 
Mara kila kitu ni ukakamavu! Ukiwa legelege inakula kwako, hata wamama wao kwenye ligwaride ni ukakamavu tu! Kama Wewe unashindia chips na maji mmama Wa ki-Kiroba hutamfikisha, maana shughuli yao ni pevu!! Watamu haoooooo!!! SHIKAMOO MARA!
 
Tarime ya zamani, ikinonke alikuwa anawalaza saa kumi thanks kanda maalum kwa eneo la wakakamavu zaidi mkoani mara.

Si wale wa Dar waliokua wanailaza midume million2 ya Dar saa11.45 jioni!!!
 
Wakuu nimepata taarifa kwamba kile kibao chetu pale maeneo ya mbugani"SASA UNAINGIA MKOA WA MARA"eti sasa kitafutwa rasmi maana kinawaogopesha wageni
Mi nashauri wa improve kidogo tu hayo maandishi kwa kuongezea maneno kama 'Be strong' 'Be aware of..'

Hapo italeta mzuka zaidi.
 

Kumbe habari yenyewe ni ya kusikia tuu? Leta source ya habari yako....au umeisikia kutoka kwa Mateja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…