`Sasa Unaingia Mkoa wa Mara Be Strong`

`Sasa Unaingia Mkoa wa Mara Be Strong`

genuineme

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2014
Posts
387
Reaction score
132
Jambo hili hunishangaza,ukiingia mikoa yote ,utaona ubao, KARIBU MKOA WA MOROGORO,IRINGA,DAR,MBEYA NK. Lakini mara ahhh "SASA UNAINGIA MKOA WA MARA"
 
Jambo hili hunishangaza,ukiingia mikoa yote ,utaona ubao, KARIBU MKOA WA MOROGORO,IRINGA,DAR,MBEYA NK. Lakini mara ahhh "SASA UNAINGIA MKOA WA MARA"


Vita ni Vita Mura!!!

Ukaribishwe vitani!?
 
acha kupotosha jukwaa hilo tangazo lipo ukiwa unaingia tarime tu. Ndio pameandikwa "sasa unaingia Tarime"
 
Karibu boooti(poti), hiyo ndio mara vipi lakini wamepunguza mauaji ya mama zao, kama nawe ni wakike usitembee peke yako maana hao jamaa ni noma kwa ku kill wana sifa sana.
 
Iyo ni amri poti, hawezi kukaribishwa geshini, amri ikija mbere ni mbere, ukirara tunakughecha...napenda kutoa saramu kwa bhoke, marwa, chacha na woote wanaonitambua.

Umenichekesha kweli, Nimeipenda hiyo mukuu haswa ya,
amri
mbere
ukirara
Saramu
marwa
 
Ukakamavu ni JADI yetu, hata katika maandishi....... Au mnataka turembe Kizenji???????

Mbrrrrrraaaaaaaaaakkkkkkkeeeeeeeeeeeee!!!!!!!
 
Huko ndo kwa wanaume wa chi hii, wakisema NO n NO
 
Maana yake usilete usharobalo muda wowote ni kutii amri toka...
 
Back
Top Bottom