Mu-Israeli
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 2,454
- 975
Mkuu,na2mia cm'LIKE' well said
Thanks Christine !!
Mkuu,na2mia cm'LIKE' well said
Ni ukweli ucopngka EL ni kama mfalme Daudi! Naye alikua na mapungufu yake! Tukimbeza na kumtupa EL tutakosa maendeleo watanzania wote! Tuache kupenda viongoz wenye blablaa za mdomoni. Tusipokua makini tutachagua kiongozi dhaifu zaid 2015 kwasbbu tu ya kuamini chuki zilizojengwa na kundi la mh. 6.Mwenye sifa hii huitwa visionary. EL anayo.
Jibu hoja acha kutoa mapovu meupe, kanusha kuwa EL siyo mwizi na taja basi wale wanaomzidi kwa wizinachukia majungu, fitina na uzushi hasa wa aina hizi
Mwenye sifa hii huitwa visionary. EL anayo.[/QUOTE. Acha ujinga wewe alivyokuwa na cheo hakuliona hili kalionaga alivyongatuka, unafiki umemjaa. Kwanza Huyu si ndo Yule fisad?
Kwa hiyo mtu akisema kwamba kuna tatizo la ajira Tanzania, na kwamba serikali iliyopo madarakani haifanyi jitihada zozote za maana kutatua tatizo hilo ni pumba?
Acheni lugha za kijinga, yaani unataka kusema Tanzania tuna uhaba sana wa viongozi bila Lowassa nchi haitakwenda? Please, mambo haya yanakera. Lowassa akiwa rais nitajinyongaNi ukweli ucopngka EL ni kama mfalme Daudi! Naye alikua na mapungufu yake! Tukimbeza na kumtupa EL tutakosa maendeleo watanzania wote! Tuache kupenda viongoz wenye blablaa za mdomoni. Tusipokua makini tutachagua kiongozi dhaifu zaid 2015 kwasbbu tu ya kuamini chuki zilizojengwa na kundi la mh. 6.
Uongo juu ya EL Umechukua mrefu
na utasababisha watanzania tukose viongozi wenye uwezo na wabunifu,wachapakazi na wenye uwezo wa kusimamia maamuzi kama EL. Hata mwalimu alikua na mapungufu yake. Na endapo hiki kizazi cha lawama na malalamiko kingekuwepo enzi za mwalimu basi huenda angetajwa kama kiongo mbovu kuliko anavyotajwa na historia. Miaka ya 80 watu walikua wamemchoka mwakimu kwa kiwango kikubwa sana kutoka na umaskini wa nchi na hata familia yake mwenyewe. Sasa bora lipo kuwa na Rais maskini asiye na uwezo na mikakati ya kuleta maendeleo au kuwa na rais tajiri mwenye mikakati,ucmamizi na uwezo wa kuhamasisha maendeleo?
Kila tatizo ccm kunamatatizo mengine yapo wazi...haya basi PONDA nae CCM. Ishue ya sasa haihitaji uccm wala umarangu....wa CDM hilisuala ni janga la taifa na sio siasa...funguka macho.
Acheni lugha za kijinga, yaani unataka kusema Tanzania tuna uhaba sana wa viongozi bila Lowassa nchi haitakwenda? Please, mambo haya yanakera. Lowassa akiwa rais nitajinyonga
EL amekua akipiga kelele mpaka sauti kumkauka kwamba vijana wasio na ajira ni bomu linalosubiri kulipuka. Ameongea kwenye majukwaa, mashuleni hata vikao vya ndani ya CCM. Vurugu zote zinazoendelea leo ni kutokana na umasikini na kukosekana kwa fursa [ opportunities] kwa vijana wengi nchini. Ajira hamna, vikwazo visivyo na maana katika ujasiriamali, manyanyaso na kujuana kumepelekea suala dogo kuyumbisha nchi. Amani tunayoichukulia for granted inaanza kuyeyuka nchini mwetu.
Licha ya kwamba kuna udhaifu wa serikali yetu wa kutochukua hatua mapema kwa vitendo vya uvunjifu wa amani, kutokufuatutilia madai halali yanayolalamikiwa na waislamu, sera za CCM za divide and rule, ni wazi kwamba sakata hili limechocheka kwa kiasi kikubwa na vijana wanaokaa vijiweni kwa kukosa ajira.
Lowassa angekuwepo haya yasingetokea.
Siyo mshabiki mkubwa wa Mjenga, hasa baada ya sakata la Mwangosi, lakini leo hebu soma hii masterpiece yake leo
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/340157-ya-mbagala-na-bedui-aliyekojoa-msikitini.html
haya yanayotokea hayana uhusiano na ukosefu wa ajira. Ni upungufu tu wa ufahamu na maarifa kadhaa. Ni sawa na kutaka kutuaminisha kuwa hili ni Taifa la kiislam kwani wanaosumbua huko ni wao pekee. Hakuna wakristo wasio na ajira? Wamevunja cha mtu? Tatizo ni mbegu ya chuki na utengano inayopandikizwa kisiasa kwa mgongo wa imani