Sasa tutafutane

Sasa tutafutane

wengi wamechakachu sredi!
 
kama mkuu ni PJ....mtaruhusiwa kweli kuingia huko wewe na rejao...eti dada yangu Canta?
 
SL kapotea na Nitonye....
Sijui wameenda Karagwe kulipa mahari


Itabidi itangazwe hali ya hatari ikibidi nitamuomba Bagah abandike tangazo la kupotelewa na mt hapa JF
 
SL kapotea na Nitonye....
Sijui wameenda Karagwe kulipa mahari
Ole wako nikukamate.


@ Smilling Saint, nipo mwaya nitarudi rasmi kesho na tarumbeta kaa mkao wa kunipokea.


@ Preta uache kutoa siri za nyumbani jf.


@ wengine wote nawapenda sana.
 
Ole wako nikukamate.


@ Smilling Saint, nipo mwaya nitarudi rasmi kesho na tarumbeta kaa mkao wa kunipokea.


@ Preta uache kutoa siri za nyumbani jf.


@ wengine wote nawapenda sana.

haya nashukuru nilipata salamu zako.... uonekane usije ukasahauliwa ndugu yangu!!
 
Ole wako nikukamate.


@ Smilling Saint, nipo mwaya nitarudi rasmi kesho na tarumbeta kaa mkao wa kunipokea.


@ Preta uache kutoa siri za nyumbani jf.


@ wengine wote nawapenda sana.

Unikamate utanipatia wapi...???
Humwogopi Amyner?
Lol
 
Back
Top Bottom