FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,792
- 5,374
Hivi una likizo ya bila malipo?
Unapatikana wapi nikitufute...
Unapatikana wapi nikitufute...
FL ukimpata unambie eeehHivi una likizo ya bila malipo?
Unapatikana wapi nikitufute...
baada ya kufurahia sana huko Serengeti na Ngorongoro sasa nimerudi Kwa ubalozi wa B52, WENYEJI MPO?
Purple (papo) ndiyo
Zambalawe?
Zambalau ?
Zambarau ?
Ubalozi wa B52 u wapi jama?ni wa nyumba kumi au ubalozi gani wajamen!
FL ukimpata unambie eeeh
mwenyewe sijui kapotea mtaa?
Sijambo...aah..so..sory kumbe sio mimi... Kwaheri.
Mtaly umenichekesha jamani lol
Mzima, Amyner anasemaje?
Purple (papo) ndiyo
Zambalawe?
Zambalau ?
Zambarau ?
We mtundu!
Mc hajambo?
We mtundu!
Mc hajambo?
Teh msalimie sana shemejiiiiimtu chake......my bebii......