Sasa TUNATAKA SPIKA MPYA WA BUNGE!!!!!!!!!!!!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sasa TUNATAKA SPIKA MPYA WA BUNGE!!!!!!!!!!!!!!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Bob_Dash, Nov 2, 2010.

 1. Bob_Dash

  Bob_Dash Member

  #1
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kutokana na mapinduzi haya ya Kihistoria ya Kisiasa kutokea katika nchi yetu nadhani sasa tunahitaji SPIKA MPYA wa bunge ili mambo ya KIUNDUGU NA KUJUANA KWA SANA iwe mwisho, Wabunge wawe huru kutoa maoni/malalamiko yao bila kutishiwa, mnaonaje wadau?.
   
 2. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #2
  Nov 2, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nafikiri hatua hiyo bado hatujafikia!!!
   
 3. The Good

  The Good Senior Member

  #3
  Nov 2, 2010
  Joined: May 26, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Vipi urais ndio basi tena!? Uspika sahau maana CCM watakuwa wengi mjengoni.
   
 4. b

  bulunga JF-Expert Member

  #4
  Nov 2, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  CCM wanamtaka Lowasa awe spika :bowl:
   
 5. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #5
  Nov 2, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Mwendo mdundo,tutafika huko! Mdee,mnyika,shibuda,mbowe n.k yani safari hii watakoma mafisadi!
   
 6. Bob_Dash

  Bob_Dash Member

  #6
  Nov 2, 2010
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 91
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tunataka spika mpya wa Bunge na kigezo lazima awe na umri wa miaka usiozidi 50, manake wasilipoweka age limit si ajabu mkasikia spika wa Bunge ameteuliwa kuwa KINGUNGE NGOMBARE MWITU.
   
 7. A

  AG Member

  #7
  Nov 2, 2010
  Joined: Jun 11, 2007
  Messages: 70
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 25
  Makamba katangaza fomu zinatolewa ni shilingi 500,000 tu. Naona anapingana na ibara ya 84 (1) ya katiba ya Jamhuri
   
Loading...