Magazeti ya Tanzania pumba kabisa, Mhariri ndo sijui tumwite nani maana taarifa za magazeti yote huwa haziendani na uhalisia na ukweli wa jambo kama lilivyotokea.
Hata kama waandishi wake wanapata taarifa facebook basi mhariri angekuwa anadanganya umma kisomi kwa kuandika taarifa zinazoendana kati ya kichwa cha habari na main body.
Mimi source ya ya news hapa nchini JF tu nikitoka hapa napaa kimataifa BBC, DW, VOA, kisha nashuka CNN, AL JAZEERA, nikihitaji local news natua tena hapa JF na MB zangu za mkopo kusoma taarifa za kina jesca na olesendeka