Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,929
- 6,030
Baada ya ya Mvua za rasharasha kunyesha huko Iran sasa hivi rasmi kabisa Mvua za Masika zimeanza kumnyeshea Ayatollah huko Tehran Iran.
Kufikia asubuhi hii ameangamizwa
Amir Hatami, Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri za Kiislamu, aliyekuwa anatishia kuangamiza Tel Aviv na Haifa. Na yeye Kaangamizwa bila huruma yeyote.
Kufikia asubuhi hii ameangamizwa
Amir Hatami, Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri za Kiislamu, aliyekuwa anatishia kuangamiza Tel Aviv na Haifa. Na yeye Kaangamizwa bila huruma yeyote.