Huo ni mfumo hata Raisi yeye hajui chochote ,yaani amshambulie Kitima kwa lip? Watu wajinga sana ,wanaona wivu .Tulikuwa tunawaambia ni mfumo mkawa mnamtukana Magufuli!
Mama yenu alipokuja mkawa mnamuita mpiga mwingi kiko wapi sasa.
Hata wakati wa Jpm hakuna kiongozi wa dini alishambuliwa.
Jiwe ndio muasisi wa huu udikteta unaoendelea leo hii.Huo udikteta umeanza leo au tangu enzi za Magufuli?
Jiwe ndio muasisi wa huu udikteta unaoendeleaHuo udikteta umeanza leo au tangu enzi za Magufuli?
Tafuta pesa , familia yako ile ..Huyo unayemsema hata hayo mambo hayajui ..Kisa nn mpaka ashambulie kwa kutuma watu .
Ndiyo maana. ya kazi iendelee, mimi nafurahia hali hii watu akili zitakaa sawa kwasababu hakuna aliye salamaJiwe ndio muasisi wa huu udikteta unaoendelea leo hii.
Kama hajui mbona hakemei?Huo ni mfumo hata Raisi yeye hajui chochote ,yaani amshambulie Kitima kwa lip? Watu wajinga sana ,wanaona wivu .
Huyu fisi maji kaenda extra mile.Huo udikteta umeanza leo au tangu enzi za Magufuli?
Kwa nn unampa mtu lawama kwa jambo ambalo hajafanya .? Amekemea mara ngapi?Kama hajui mbona hakemei?
Tulimsifia alipofanya vizuri na kusema anafanya Reforms sisi hatumchukii mtu bila sababu akifanya vizuri tunampongeza akifanya vibaya tunamkosoa na kumpiga spana.Mama yenu alipokuja mkawa mnamuita mpiga mwingi kiko wapi sasa.