Wana jamvi wa JF Kwa muda sasa tumekuwa na mjadala na kutupiana mpira tukilaumiana nani kaleta njaa nani hakuleta.
Report ya hivi karibuni kutoka UN- Umoja wamataifa pamoja na Mashirika ya kutoa MISAADA iliyotayarishwa miezi 6 iliyopita, inaonyesha KUNA hali MBAYA {Bleak future} ya chakula barani Afrika.
Taarifa zinasema kati ya hao. Watu millioni 32 wanatoka MASHARIKI na KUSINI mwa Afrika.Ambayo inakadiriwa watu milioni 50 huenda wakaathirika na njaa.
Miongoni mwa nchi hizo ni MALAWI, ETHIOPIA, Nchi za AFRICA MASHARIKI, SOMALIA,,ZIMBABWE, NAMIBIA, Majimbo kadha ya AFRIKA KUSINI Miongoni mwa zingine katika ukanda wetu.
Mbaya zaidi ni kuwa mamillioni ya watoto hao wako MASHARIKI na KUSINI mwa Afrika na wako katika hatari ya UTAPIAMULO.
Ripoti inasema hali hiyo imetokana na MABADILIKO ya hewa yaliyosababishwa na El Nino katika sehemu za ASIA. PACIFIC, LATIN AMERIKA, miongoni mwa sehemu zingine.
Ripoti inasema watu waambiwe kutumia chakula kidogo walicho nacho kwa uangalifu sana.
Hali ya UKAME NA KUKOSEKANA kwa maji ni moja ya mambo ambayo yanaweza kuleta hali ya KUZOZANIA ama UGOMVI wa kuzozania resources kama MAJI na chakula.
Wana Jamvi naomba TUOMBEE nchi yetu hata kabla NJAA haijawa kubwa ili mvua zinyeshe na tulime MAZAO ya muda mfupi
.Huenda MUNGU akatunusuru.
HUU si wakati wakulaumiana.
Source: UN report and The Guardian