chitambikwa
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,941
- 903
Baada ya kukusanya hotuba zake zenye mashiko zipatazo 3,520, ninayo kila sababu ya kumuita huyu future president wetu Professor. Lengo ni kutofautisha mchango wako na ule wanasiasa wengine wanaoitwa Dr. (ama kwa kupewa ama kwa kusoma ki halali ama kwa kuchakachuwa). Upo mbali saaaana professor.
Basi kwa mamlaka niliyopewa na walalahoi wenzangu tunaopata mlo mmoja kwa siku na kutibiwa kwa mitishamba natamka rasmi ya kuwa wewe ni PROFESSOR!
Baada ya kukuchukua juzi umeamua kumpa uprof........We uliyeandika hapo juu ni **** ungesema SLAA ni pro. wa kuchukua wanawake za watu ningekuona wa maana, utaendelea kuwa maskini kwa kushabikia wanasiasa wa inchi hii
Mods tuwekeeni kitufe cha LIKE hata kwenye mobile...
We uliyeandika hapo juu ni **** ungesema SLAA ni pro. wa kuchukua wanawake za watu ningekuona wa maana, utaendelea kuwa maskini kwa kushabikia wanasiasa wa inchi hii
We uliyeandika hapo juu ni **** ungesema SLAA ni pro. wa kuchukua wanawake za watu ningekuona wa maana, utaendelea kuwa maskini kwa kushabikia wanasiasa wa inchi hii
Baada ya kukusanya hotuba zake zenye mashiko zipatazo 3,520, ninayo kila sababu ya kumuita huyu future president wetu Professor. Lengo ni kutofautisha mchango wako na ule wanasiasa wengine wanaoitwa Dr. (ama kwa kupewa ama kwa kusoma ki halali ama kwa kuchakachuwa). Upo mbali saaaana professor.
Basi kwa mamlaka niliyopewa na walalahoi wenzangu tunaopata mlo mmoja kwa siku na kutibiwa kwa mitishamba natamka rasmi ya kuwa wewe ni PROFESSOR!
We uliyeandika hapo juu ni **** ungesema SLAA ni pro. wa kuchukua wanawake za watu ningekuona wa maana, utaendelea kuwa maskini kwa kushabikia wanasiasa wa inchi hii
Mods tuwekeeni kitufe cha LIKE hata kwenye mobile...
Kweli huyo anafaa kuwa professor wa kushughulikia wake za watu. Josephine?
wewe ulieandika hii thread nami kwa mamlaka nilioyopewa na wanakijiji wa kijiji cha butumba natangaza rasmi kwamba tumekutuku u DAKTARI wa Utafiti kuanzia leo utaitwa Dr. Whisper
wanaoafiki waseme NDIYOOO