Sasa ni mpaka wanayama

Waafrika bhana wazungu wakitaka kualalisha ujinga wao watatumia kila njia na sisi tulivyo bendera wala hata hatureason
Swadakta mkuu hiyo ni kampeni wanaisambaza
 
Kwanini hatuamini katika utawandawazi,je iko vipi kama wapiga picha ndio wAlio tengeneza senario hii??kwanini tusione tafiti kama hizi hili laweza tokea?mimi ni nime8shi na wafugaji sana mbuzi al8e hasiwa husumbuliwa na wenzie malijali katika malisho je hii haiwezi kuwa wenzetu wamempiga simba punga sindano za homonie za kike kuona kama ata react!!
 
Ameshindwa Nini kuchukua video kabisaa ??? Akili kumkichwa
 
HAPANA Hii sio Kweli, Wameamua kufanya Fix tu kushawishi Umma
 
Tumeridhi kutoka kwao au wanyama ndio wamepokea kutoka kwetu
 
so kweli Hugo no simba Mike ambaye homoni za kiume zimemzidi hivyo kupelekea kuota manyoya kama dune, tazama picha hiyo niliyo weka ni simba hike mwenye manyonya, wazungu wanamatatizo sana, wanatumia hoja ya wanyama kuhalalisha ushoga
Tena ushahidi ameuweka wazi kabisaa

Sent from my D2502 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…